Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 927
M4C kombora la masafa marefu na kumbuka nyayo za simba hazifatwi
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Watu wataenda kula UBWAWA tu, hakuna mwenye mapenzi na CCM.
View attachment 54927
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Ni kwa kasi isiyotarajiwa ya kwamba CDM inafahamika kwa kiasi kikubwa mingoni mwa watanzania huku CCM kikionekana kuwa chama cha vikundi....Katika hili tunaomba nacho/CCM kifanye mikutano Arusha, Dar na maeneo mengine yote ambayo CDM imepita ili nasi kuwaonyesha watanzania ya kuwa tupo hai na tunakubalika bado.
naomba awepo Raisi,Katibu mkuu, Nappe na baadhi ya wabunge kama ambavyo CDM wanafanya.Hapa tutajipima vyema. Mkutano huu usiwe wa kiserikali ila wakichama katika kuhamasisha maendeleo na uelewa wa demakrasia haki na wajibu.
AKSANTEEEEEEEEEEEEEEE
Otherwise PEOPLES'S POWER ITATAWALA

Nape ndugu yangu, majibu yako yawe yanafanana na wadhifa wako wa kitaifa. Majibu ya kihuni waachie wahuni na sio wewe! Ukijibu, sisi tunatumia majibu yako kama rejea kama hujui hilo basi kuna walakini mkubwa juu ya uwezo wako wa kiuongozi!
Nendeni NMC(ARUSHA), MASHUJAA(MOSHI), SANGU,MABATINI, KIWIRA(MBEYA), LIZABONI, BOMBAMBILI(SONGEA), TOWN LA MUSOMA mkajipe moyo kwa halaiki ya inzi.
CCM wakumbuke kuchukuwa report ya utekelezaji wa ahadi zake (kama kuna kitu wametekeleza)!
Kwa uzuzu wao wanaweza kweli kuanza kulamba miguu ya CHADEMA kwa kupita sehemu walizofanya mikutano ya haadhara, lakini tofauti na CHADEMA CCM wanatakiwa wawaambie wananchi ni kwa nini nchi ni maskini?
nendeni nmc(arusha), mashujaa(moshi), sangu,mabatini, kiwira(mbeya), lizaboni, bombambili(songea), town la musoma mkajipe moyo kwa halaiki ya inzi.
Ni kwa kasi isiyotarajiwa ya kwamba CDM inafahamika kwa kiasi kikubwa mingoni mwa watanzania huku CCM kikionekana kuwa chama cha vikundi....Katika hili tunaomba nacho/CCM kifanye mikutano Arusha, Dar na maeneo mengine yote ambayo CDM imepita ili nasi kuwaonyesha watanzania ya kuwa tupo hai na tunakubalika bado.
naomba awepo Raisi,Katibu mkuu, Nappe na baadhi ya wabunge kama ambavyo CDM wanafanya.Hapa tutajipima vyema. Mkutano huu usiwe wa kiserikali ila wakichama katika kuhamasisha maendeleo na uelewa wa demakrasia haki na wajibu.
AKSANTEEEEEEEEEEEEEEE
Otherwise PEOPLES'S POWER ITATAWALA
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
utajibu wewe kwa niaba ya chama,kama maige alivyosema.Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
mie naona wajibu kama makundi yao yalivyo.wanaomuunga mkono mzee wa rchmnd wajipange waje jangwani tuwasikie,then wale wa maige nao waje na sera ya kumvua nape gamba,nape nae ajiandae aje na makundi ya watoto ila aandae kamga,skafu,kofia maana hivyo ndo vitendea kazi vyake wananchi tunalijua hilo,mwenyekiti wao aite wazee wa dar es salaamu maana huwa wanapozwa nauri na pesa ya chakula.theni kila mtu aeleze anachoona ni kizuri kuhusu serikali.kuchallengiana among themselves.sasa wakiamua kujibu mapigo uchumi nani atasimamia, maana wao ndiyo wako madarakani, ina maana na wao ni wapinzani?????
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
unajua nimekumbuka kitu kimoja amabcho kinafanana na mawazo ya nape,nyinyiemu imekuwa kama chuma chakavu,ukiokota kitu kichakavu na hujawahi kuwa nacho inabidi ujitahidi kukirekebisha ili kikusaidie,bila kujua kuwa kimefikia mda wa kutotumika tena,na wakati mwingine unaweza tumia nguvu nyingi ila mwishi wake hakisaidii,sasa bw,naoe anajitahidi kurekebisha nyinyiemu na akiamini inaweza msaidia kwa mda,si unajua tena mambo ya sifa za kijinga kwa mafisadi!Ubaya ni kuwa Umeona CCM kama Mali yako; Kwanza Angalia ni kwanini Wanachama Vijana Wanaondoka CCM; Jaribu
kutafuta usuluhishi, ndio ujaribu kupambana na CHADEMA, Na Muache Matusi wewe na kijana Mwenzako ndani ya CC ni
Wasomi lakini Mnapenda kuongea bila kuwa na busara, kama Viongozi waliopita wa CCM.