Wabongo bana sasa ww umepima kwa nafasi yake ukaona hizo changamoto hatoweza angalau hata kukabiliana nazo au ulitaka agomee uhamisho kisa changamoto au aanze kulia kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waburuze polisi ww huna akili timamu bila polisi hata hapo unapoishi ungekua salama acha ushauri wa kijinga kwa Raisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu haangalii mavazi,mwili,umbo au uzuri yy anaangalia moyo afu Mungu aonavyo ni tofauti na ss binadamu tuonavyo kumtumikia Mungu si lazima uvae suruali ya kitambaa na shati la thatini na tai usikariri badilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Unabisha nn juu ya hili na unavosema kwamba mtu yeyote akihamia sehem pasipo kujitambulisha kwa serikal ya kijiji anauwawa hv kweli watu wamekutwa na silaha wameuliwa as long as ni majambazi haijarishi wapi wametokea bado unapinga tu daah alieturoga kafa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.