BAVICHA NA CHASO Mkoa wa Dodoma wajiandaa kwenda muda huu mahakamani kumlinda Lissu

Mnamjua Magu au mnamsikia, mkusanyike sasa muone. Utawala huu hakuna atakayeingia barabarani.
 
Finally watu wameanza kujitambua...
marehemu sheikh ilunga kapungu apumzike kwa amani alikua na misemo yake.
"kama mtu unaogopa butima hufai wewe"
hawa polisi dawa yao ni kurejea vitabu vinasemaje "kutiba alaikum al-qishash".
Wanamkamta kiongozi wetu nao tuna waning'iniza mtaroni ikishindikana leo basi kesho au kesho kutwa tutakutana nao.
 
Katika hali ya taaruki vijana wa Bavicha na chaso wilaya ya dodoma mjini wamekusanyika ofisi za wilaya kujipanga kwenda kwa nguvu kumlinda Mh. Tundu lissu ili kuweza kukabiriana na hao wananchi wakakamavu (polisi) ambapo wamejipanga kumkamata.

Wakieleza kwa nyakati tofauti vijana hao wamesema kwa sasa "kama mbwai na iwe mbwai" huku wakihamasishana kubeba zikiwemo silaha jadi ili kukabiriana na kile wanacho kiita uonevu kwa mwenyekiti wa makinikia nchini.

wamesema kwa sasa woga wote wameweka pembene na tayari kundi la vijana 30 lipo likijiandaa kwenda mahakamani kuimarisha ulinzi.

source: katibu wa chadema wilaya ya dodoma mjini
Wakivunjwa miguu mimi simo wanataka kugeuza viwanja vya mahakama ile nini square ya misri kwa ujumbe wa watsap wa tundu lisu..Jeshi la polisi tumieni nguvu kubwa kuna migaidi ya kibiti itajichanganya na CHASO .Tundu anataka kuanzisha vita hakuna chaso inatumika Kama vehicle tu kuna watu wana magrunedi ya kurusha wadakeni wote wanaokuja eneo hilo na nguvu kubwa itumike bila huruma.if.possible kill
 
Katika hali ya taaruki vijana wa Bavicha na chaso wilaya ya dodoma mjini wamekusanyika ofisi za wilaya kujipanga kwenda kwa nguvu kumlinda Mh. Tundu lissu ili kuweza kukabiriana na hao wananchi wakakamavu (polisi) ambapo wamejipanga kumkamata.

Wakieleza kwa nyakati tofauti vijana hao wamesema kwa sasa "kama mbwai na iwe mbwai" huku wakihamasishana kubeba zikiwemo silaha jadi ili kukabiriana na kile wanacho kiita uonevu kwa mwenyekiti wa makinikia nchini.

wamesema kwa sasa woga wote wameweka pembene na tayari kundi la vijana 30 lipo likijiandaa kwenda mahakamani kuimarisha ulinzi.

source: katibu wa chadema wilaya ya dodoma mjini
Kabla hayakufika unafurahia achana kupambana na nguvu ya dora panga vs risasi hasara ni kwa familia zao

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tanzania nzima kuna wanachama chadema million 42 kwa takwimu ya uchaguzi mkuu askari tanzania nzima wako milioni 2 sasa tukilianzisha na hao askari tunaishi nao mtaa jakuna rangi wataacha hona.

Swissme
We lofa kweli! Ina maana huko mtaani unaishi wewe peke yako na hiyo Chadema? Sasa ndiyo kama mmetumwa mbwa nyinyi mlianzishe segere, sisi wazalendo tupo tayari kulicheza. Lianzisheni. Pumbavu zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wamepata kibali cha kukusanyika mahakamani.? Channel gani itakuwa live hapo nikanunue popcorn niangalie hiyo movie
 
Mtu kajitakia mwenyewe halafu anajifanya kujificha!
Mwenye mtoto aliye chuo chochote dodoma kama anampenda ampigie simu amwambie akae mbali asiende magaidi yenye silaha na makombora yale ya kibiti yatajichanganya na CHASO kuanzisha vita kushambulia mahakama na polisi kwa mabomu na makombora na risasi Kitakachofuata waweza poteza mwanao wapigieni wanenu wasiende
 
Kundi kubwa la vijana 30!
kuzuia polisi wasimchukue mtu kwenda kutimiza kazi yao ya upelelezi!
wanabeba siraha za jadi kupambana na walinda usalama!
wanakwenda kumlinda mtu anayesema tususiwe na mataifa mengine!
Pamoja na chadema kuwa na watu wenye akili lakini hainizuii kuwauliza kwamba, HIVI CHADEMA MNAAKILI KWELI?
 
Hao thelathini jeshi ls polisi haliwajui ni nani? Waweza kuwa makomandoo magaidi ya kibiti yenye makombora na.magruneti mifukoni .polisi msiwacheleweshe kabla hawajawawahi kill them all.
 
Back
Top Bottom