Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu...

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa...

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI????

Je aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
Mhh,ina maana unataka kujua kila hatua walizopita makamanda wetu kubaini wahalifu ili iweje? Ikiwa hivyo,wewe ndo utakuwa polisi,na wao raia! Ninafikiri ni jambo jema tukawaamini makamanda wetu,na kuwatia moyo waendelee kupambana na hawa wahalifu.
 
Na wewe unaona umeandikaa, yani akili yako inajichenga yenyewe, yani umeanza vizuri "wameuwawa baada ya majibizano ya risasi" Sasa kama umeandika mwenyewe walikuwa wanajibizana risasi na askari wetu ulikuwa unata wao askari wafanyeje? Cz kama wangekuwa raia wema wasingekuwa na sababu ya kuwarushia risasi polisi. Ukimrushia askari risasi it means you r ready to kill or being killed, isn't that logical? Haya umeongelea kuhusu wamejuaje wametoka kibiti? That's called intelligence. Marekani walijuaje Osama yupo Pakistan while Makao Makuu ya CIA yapo Virginia? Anyways ndio maana kwenye mitihani wengine wanapata division 1 na wengine Division 5. Ni mambo kama haya.
Intelijensia Ipi unayoizungumzia wewe????
Ni hii hii ambayo imeshindwa kudhibiti mauaji ya kibiti kwa kipindi chote hiki???

Ni intelijensia ipi unayotakabkuiaminisha kwayo????
Ni hii hii ambayo mpaka Leo haijui kwanini mauaji yatokee KIBITI????

Div 1 na div 5 za bongo hazi reflect uwezo wa mtu wa ubongo
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu...

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa...

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI????

Je aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
We subiri mpaka hao unaowatetea wake wakuchinjie kanisani kwako ndio utaacha kidoamodomo chako
 
Rose Mayemba wewe binti una matatizo, peleka mgeni nyumbani kwako basi uone kama atapigwa risasi ?
Mmeishiwa hoja hadi mpo radhi kutetea wauaji, hivi kuna raia mwema yoyote anayeweza kurushia polisi risasi kama si jambazi ?

Majambazi wakiua watu Kibiti mnafurahia na kuanzisha nyuzi za kejeli, polisi wakiua majambazi mnaleta nyuzi za maswali ya kijinga kijinga, nyie ni binadamu wa aina gani mnaofurahia mauaji ?
Ni kweli siasa imewatoa hata utu tu wa kuheshimu uhai wa wengine ? Inaonekana amekosekana mtu wa kuwapa muongozo huko ndio maana mnaropoka ovyo ovyo.
Badala ya kujielekeza kwenye hoja, unalalamika halafu umechagua upande. Aliyesema kwamba walirushiana risasi na polisi ndio sababu ya kuwaua ni polisi, sio waliokufa.
 
Ndo ile usemi wa siku nyingi." Mkono wa serikali ni mrefu'
Utakupata tu. Damu za watu waliouwawa zitakulilia tu. Pamoja na maelfu ya wategemezi walioondolewa MTU wanayemtegemea kilio chao machozi yao mbele za Mungu hayawezi kuwa acha salama wauwaji hawa popote.
Hata waende wapi? Mungu atawamulika serikali itawadabua.
 
Rose Mayemba wewe binti una matatizo, peleka mgeni nyumbani kwako basi uone kama atapigwa risasi ?
Mmeishiwa hoja hadi mpo radhi kutetea wauaji, hivi kuna raia mwema yoyote anayeweza kurushia polisi risasi kama si jambazi ?

Majambazi wakiua watu Kibiti mnafurahia na kuanzisha nyuzi za kejeli, polisi wakiua majambazi mnaleta nyuzi za maswali ya kijinga kijinga, nyie ni binadamu wa aina gani mnaofurahia mauaji ?
Ni kweli siasa imewatoa hata utu tu wa kuheshimu uhai wa wengine ? Inaonekana amekosekana mtu wa kuwapa muongozo huko ndio maana mnaropoka ovyo ovyo.
Mkuu
Usipanic
Twende taratibu...
Hakuna anayetamani haya yanayotokea yaendee...
Yanatuumiza sisi sote,lakini hii miereka ya Serikali yako hii inaturudisha nyuma sana kifikra.
Kama mlihamishia Jeshi la Polisi huko na bado watu wakaendelea kuuwawa iweje uone tuko salama.
Sina hakika sana kama ni Kweli SERIKALI imeshindwa kudhibiti mauaji hayo la sivyo basi iko siri kubwa sana serikali inaijua kuhusu mauaji haya
 
Maswali ni mengi kuliko majibu hii cinema
 
Hii ni nchi ya UDIKITEITA, hayo unayoyasema ya kusimamishwa kuhojiwa ni nchi zenye demokrasia, siyo hii! Unatetea udikiteita kama siyo wewe wajukuu zako wahalia
Nchi yetu haijafikia huko, narudia kukuambia Utaratibu ni kuwa ukitiliwa Shaka na vyombo vya usalama utasimamishwa utahojiwa na kuulizwa document zinazotakiwa ukitoa ushirikiano utakuwa salama
 
Hebu tuache unazi kidogo tujadili jambo hili maana kesho ni jingalao au Chakaza anaweza kushambuliwa na hao magaidi/majambazi.
Nachoshindwa kuelewa ni kuwa Polisi walizingira hiyo Nyumba na mapambano yakaanza. Wakaua sita na "wanasema" wawili wamekimbia. Wamekimbiaje toka Nyumba iliyozingirwa? Wamejuaje kuwa ni wawili tuu waliokimbia wakati wenzao hawakuweza kusema kwani wamewaua?
Ndio hapo woga unapotuzidia
Watu hawataki kabisa kupanua ubongo
 
Sasa ww unataka utangaziwe mpaka mtu alietoa info za hao majambazi kuwepo mwanza?... Kasome intelligencia bana... Tatizo letu kila kitu kijifanya tunajua... Siasa, muziki, intelligence, sport., everything!
Hii intelijensia kiboko....
 
Yaani sasa tunataka Polisi kabla hawajafanya kazi yao watueleze kuwa wanakusudia kupambana?
Au Intelijensia yao au ya TISS ikishagundua wauaji wako wapi pia wajekutueleza na sisi wananchi?
Au kwamba kama TISS ndo ilitoa taarifa kwa polisi kuwa wauaji wapo Mwanza basi na sisi wananchi tuelezwe?

Naamini una nia njema lakini hii hoja yako haijakaa sawa.
Si malengo yangu...
Lakini hili suala la KIBITI lina ukakasi sana
 
Nchi yetu haijafikia huko, narudia kukuambia Utaratibu ni kuwa ukitiliwa Shaka na vyombo vya usalama utasimamishwa utahojiwa na kuulizwa document zinazotakiwa ukitoa ushirikiano utakuwa salama
Siyo hapa, hilo unalolisema ni kwenye nchi zenye demkrasia. Kuna malalamiko makubwa kuwa polisi wanabambikia watu kesi kupara rushwa. Wafanya biashara wa madini mahenge waliuliwa na polisi wakapora fedha zao. Tusiwe wepesi wa kusahau. Osokoni usitetee maovu ya serikali kwa vile unanufaika na regime hii!
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu...

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa...

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI????

Je aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
Unabisha nn juu ya hili na unavosema kwamba mtu yeyote akihamia sehem pasipo kujitambulisha kwa serikal ya kijiji anauwawa hv kweli watu wamekutwa na silaha wameuliwa as long as ni majambazi haijarishi wapi wametokea bado unapinga tu daah alieturoga kafa
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.MUNGU AKUPE HEKIMA YA KUISHAURI SERIKALI NJIA SAHIHI ILI USIWE NA MAWAZO YA KULAUMU TU
...
Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? kama una ushahidi umwage hapa au peleka kwenye vyombo husika, la epuka kuwasilisha hisia zako, ni uzushi Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?woga tena wasema, wakati kelele zinapigwa kila kukicha kuilaumu Serikali!

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa? kama una ushahidi umwage hapa au peleka kwenye vyombo husika, la epuka kuwasilisha hisia zako, ni uzushi
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria? itapendeza ukitaja sheria zinazokiukwa na Serikali

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
 
Polisi wetu wa tz hawapishan na alshabab...tofauti ni kuwa wao wapo kisheria tu.alshabab wako kidin
 
Back
Top Bottom