Waandishi wengi wa habari uwezo wao wa kufikiri na kutafakari mambo ni mdogo sana.
Wengi wana shule za kuunga unga, wengi wamesoma vyuo vya kariakoo, walianza na certificate, kisha diploma. Ukiwahesabu waluofika chuo kikuu ni wachache sana.
Uandishi wa habari ni taaluma kama sheria au uhasibu au uhandisi, ila kwa tanzania uandiahi wa habari ni kipaji, sijawahi kuona mahala popote Duniani, hii iko Tanzania tu.
Nashukuru serikali imeanza kuchukua hatua kwenye hii taaluma ambayo makanjanja wengi wamejifichia humo..
Waandishi wengi wa kitanzania na watangazaji wana uwezo mdogo sana kichwani, hawajui kujenga hoja, hawajui kuuliza maswali, yani they know nothing.
Sio kosa lao hao, tatizo ni shule yao ndogo tu.