NOWhatsapp ni zaidi ya GBwhatsapp

NOWhatsapp ni zaidi ya GBwhatsapp

Yowhatsapp ni best...gb inashida kweny contact baadh ya majina tena meng tu unakua huyaon

So far Yowhatsapp ni kiboko

Sent from my SM-G906K using Tapatalk
Yale madoido ya mule mimi ndio yamenishinda.

Hans Pol
 
hio shida ya text labda ni kwa baadhi ya simu binafsi sijawahi kukutana nayo nimejarbu YOWhatsapp kidogo naona na yenyewe ni nzur
Yowhatsapp hawana option yakubadili Launcher Icon, nimetafuta sikuiona, GB WhatsApp wanayo hatutumii tena Icon ya blue

G.Don-Master.
 
Matatizo ya GBwhatsapp 1.baadhi ya contacts azionekani 2.meseji kuchelewa.3.nzito muda mwingine inacrush 4.inakula mb..proved by me,mbadala wake ni....NOWhatsapp try...MediaFire mrejesho mulete
Mkuu ahsante kwa link, ila kila nikii download inaniambia invalid link na sijui nifanye nini

Tuyaache kama yalivyo
 
Mnajaza ma virus kwenye simu zenu halafu mnalalamika simu ina misbehave mara imekua nzito. How old are you guys??
 
Yowhatsapp hawana option yakubadili Launcher Icon, nimetafuta sikuiona, GB WhatsApp wanayo hatutumii tena Icon ya blue

G.Don-Master.
Ipoo mkuu mbona...ingia universal af >mod af utaona launcher icon
Screenshot_2017-07-18-06-39-51.png
 
Hizo whatsapp mods ni nzuri nshatumia gb whatsapp nikaipenda mno ila 1 thing was annoying me.
Ile pop up ya update kila baada ya siku chache kupita. Wangeweza kuifanya iwe inajiupdate automaticaly yani 1 click update kila version mpya ikiwa released ningeipa 5 stars. Warekebishe hapo tu.
 
Matatizo ya GBwhatsapp 1.baadhi ya contacts azionekani 2.meseji kuchelewa.3.nzito muda mwingine inacrush 4.inakula mb..proved by me,mbadala wake ni....NOWhatsapp try...MediaFire mrejesho mulete
Kupenda kujaribu vitu inasaidia sana.

Niseme tu ukweli kuhusu nowhatsapp ni app ya ajabu sijawahi kuona.

Haifa haifai kabsa.

Nimetsfuta huu Uzi kwa mhemko mkubwa ili nawaonye watu wasipakue tena.

Yan SMS haziji kwa wakati tena xingine haziji kabsa.
Pumbavu zake
 
umetumia kwa simu ya aina gani?na unaofficial whatsapp?
 
Back
Top Bottom