Lazima msome alama za nyakati , upinzani kwa sasa sio dili kabisa. Rais amewekeza kwa wanyonge ambao ndio wapiga kura wake na wanamkubali, hivyo msiweke matarajio yale ya Amsha Amsha ya zamani kuyaona tena sasa. Ule mtazamo wa zamani wa kupata kura za huruma kwa wananchi hayo yote yameamia kwa...
Mimi ninayo Rav4 old model pia, tatizo ni gear box inagonga sana wakati nabadili from drive to reverse , nimekuwa sina raha na hiyo gari, nipo Arusha. Sijui natibu vipi tatizo?
Yule Makonda sio wa mchezo mchezo! Hana wa kulinganishwa nae kwa wapinzani, tufunge midomo tukalale hamna hoja juu ya Makonda yule ni mtu wa waungwana wa nchi hii. Wacheni povu futa kamasi uchape mwendo. Makondaaaaaa piga kazi tunakukubali baba. Hawa much know hawana jipya uwe na cheti usiwe na...
Suma ametoa mchango mkubwa katika soka la nchi hii lakini leo TFF wanakaa kimya hadi kijana huyu anazikwa kama mkimbizi katika nchi jirani ya watu wengine, SHAMEFULLY ! Hawa mabalozi wetu katika nchi hizo wana faida gani ya kuwepo huko? Nimeumia sana kwa tukio la Suma.
Hapa wapo wanaodai Mungu hayupo , nadhani ni wale wanaojiandaa kuanzisha mathehebu ya ndoa za jinsia moja na wengi wao ni mashoga. Hapa wanafanya maandalizi ya kutaka kutuaminisha kuwa Mungu hayupo ili tuhamie katika minutes za kikao kingine. Wale waumini wa uwepo wa Mungu wekeni pause hamna...
MIMI NILIPOONA NENO GREAT THINKERS BASI NILIJUA HAPA WOOTE NI WATU WANAOJADILI JAMBO KWA KINA NA RESEARCH ZA HALI YA JUU, KUMBE NI POROJO TUPU, DUUH SINA HAMU YA KUJADILI JAMBO KATIKA HILI DAWATI . POLENI SANA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.