Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,646
Ulishawahi kuona Padri mwanamke?Mimi sijawahi kuona sheikh mwanamke
Ulishawahi kuona Padri mwanamke?Mimi sijawahi kuona sheikh mwanamke
Kuna masisterUlishawahi kuona Padri mwanamke?
Sister ni Padri?Kuna masister
Badala ya Padre kuna masisterSister ni Padri?
(b)Labda hao uliowaona wote walikuwa kwenye siku zao. wakiwa kwny bleeding hawaendi kabisa.Habarini, sijui nimepofushwa macho au! Ni kwamba sijawahi waona wanawake waislamu hapa Tz wanaenda msikitini. Ninapokuwa mida fulani vijiweni, ikifika adhana, ni wanaume tu hujisogeza msikitini. Pia siku ya ijumaa, sijawahi waona au hata kumsikia mwanamke wa kiislamu akisema naenda msikitini.
Hivi ni mimi tu au ushamba wangu au ni kweli hawaendagi msikitini au huwa wanaenda kwa siri??
FaizaFoxy.
(b)Wewe una kiherehere kishumbusi mfano wa mbuzi...!Wewe kama sio muislamu mambo ya uislam unayachunguza ili iweje?
Pambana na hali yako,tusichoshane tuu hapa kwa kejeli na mengineyo yasiyokuwa na tija kwenye tanzania yetu ya V wonder
Welevu wamenielezea bila kuuliza haya maswali.Mtoa uzi samahan kwan ww ni kabila gan? Na unaishi mkoa gan na kama upo dar unaishi maeneo gan ...mana kuna wkt mtu unaweza kuuliza swali ambalo halilingan na umri wako
Wameamua tu kukujibu ila kwa mtu mzima huwez uliza swali kama hilo tena kwa jamii ya kitanzania iliyochanganyikaWelevu wamenielezea bila kuuliza haya maswali.
Du! Kwenye kuswali kuna mapendekezo ya watakaoswali na ambao si lazima waswali? Hayo mapendekezo yalitolewa na Nani?Swalaah ya Jama’ah ni waajib kwa wanaume na sio kwa wanawake
Imependekezwa kwenda kuswali Msikitini Swalaah za usiku kwa wanaume na sio kwa wanawake.
Wanawake hawalazimiki kuhudhuria Swalaah ya Ijumaa, wanaume ni lazima
Swalaah ya ‘Iyd ni waajib kwa wanaume, lakini si kwa wanawake. Hata hivyo imependekezwa kwa wanawake kuhudhuria ikiwa kutakuwa hakuna jambo litakaloleta fitna.
Nenda Kanisa Katubu achana na uislam hata nikikujibu utanikashifu.Du! Kwenye kuswali kuna mapendekezo ya watakaoswali na ambao si lazima waswali? Hayo mapendekezo yalitolewa na Nani?