Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

tatizo lake alipindua utawala wa kifalme nae akanogewa akawa kama mfalme haiwezekani ukae madarakani miaka 40 inamaana hakuna mtu mwengine sahihi kati ya walibya wote wakumrithi
hafu hakua hata na mpango wa kuondoka alitaka afie madarakani haya mambo ndo yanatuangusha africa ......kina mugabe
 
Kwa taarifa tu wanae walokuwa wanaitwa magaidi na utawala wa Obama na vibaraka wake wameitwa na wamesharejea kuchukua mamlaka muda na wakati wowote wanakabidhiwa nchi hao vibaraka wenu wameshindwa kuirejesha libya ktk misingi na utamaduni wa walibya wamebaki kugombea utahiri tu...
Hahahaha

Hebu mwambie huyo ...
 
Fungua link za You Tube utaona alizikwa na watu wangapi.Hata dictator Mabutu Sseseseko wa Kongo alizikwa na watu wasiopu gua saba, hii ni ishara kuwa udictator ni chukizo.
Weka ushahidi wako hapahapa jukwaani, sio kuleta blah blah ...
 
Kwa taarifa tu wanae walokuwa wanaitwa magaidi na utawala wa Obama na vibaraka wake wameitwa na wamesharejea kuchukua mamlaka muda na wakati wowote wanakabidhiwa nchi hao vibaraka wenu wameshindwa kuirejesha libya ktk misingi na utamaduni wa walibya wamebaki kugombea utahiri tu...
Watakabidhiwa nchi na nani? Wapinzani nao wanataka kutawala.Hakuna atakaekubali kumwachia mwenzake na hii ni ishara vita haitaisha, watakung'ung'utana hata wamalizike wote.
 
Kwa sasa Libya kamwe haitawaliki, haitawaliki kwa sababu Gaddaf aling'ang'ania madaraka na kuwanyima nafasi Walibya wengine kutawala.Sasa baada ya kuuawa na Walibya wenyewe wafuasi wake wanataka waendelee kutawala wakati wapinzani nao wanataka kutawala.Hii ni vita ya kuwania madaraka ambayo haiwezi kwisha. Udikteta wa Gaddafi ndio ulioleta kadhia hii yote.Nakushangaa unaposema Gaddafi alikuwa kiongozi makini na mwadilifu wakati baada ya kufa hakuna taifa hata moja duniani lililoshituliwa na msiba wake.Alikufa na kuzikwa kama mbwa na zaidi familia yake tu ndio waliomzika.Angekuwa kiongozi mwadilifu angezikwa na duniani nzima kama ilivyokuwa kwa Mandela na Nyerere.Wewe unaemtetea Gaddafi ndo unaeharisha kwa sababu unatetea kitu kilichokuwa kimeoza kiasi cha kuwa chukizo kwa dunia nzima.
Mkuu naona kichwani mwako kuna dhana ya kuwa mzungu akiua watu anaitwa mlipa kisasi au mleta demokrasia ila mwarabu akiua anaitwa gaidi. ....pole sana mkuu kwa mentality disorder
 
Mkuu naona kichwani mwako kuna dhana ya kuwa mzungu akiua watu anaitwa mlipa kisasi au mleta demokrasia ila mwarabu akiua anaitwa gaidi. ....pole sana mkuu kwa mentality disorder
Ndiyo, kwani wazungu wanapigana vita wapi ????.Nchi za Kiarabu karibu zote moto wa vita unawaka kwa hiyo hata wakiitwa magaidi in sawa tu.
 
MIMI NILIPOONA NENO GREAT THINKERS BASI NILIJUA HAPA WOOTE NI WATU WANAOJADILI JAMBO KWA KINA NA RESEARCH ZA HALI YA JUU, KUMBE NI POROJO TUPU, DUUH SINA HAMU YA KUJADILI JAMBO KATIKA HILI DAWATI . POLENI SANA.
 
Pamoja na yote,alikuwa mzalendo haswaaaaaa,kwa taifa lake,mzungu hakwepi roho ya unafiki kwenye Mali zetu,ndio maana wanastuka,stuka sana juu ya tz,kuwa na kiongozi shupavu ,jasiri kama wa kwetu
 
Wewe
Pamoja na yote,alikuwa mzalendo haswaaaaaa,kwa taifa lake,mzungu hakwepi roho ya unafiki kwenye Mali zetu,ndio maana wanastuka,stuka sana juu ya tz,kuwa na kiongozi shupavu ,jasiri kama wa kwetu
Wewe utakuwa Ngosha
 
Back
Top Bottom