Hizi ndoa za siku hizi bana ni shida. Wanawake wanaroga sanaa ili waolewe. Matokeo yake dawa zikiisha nguvu mwanaume anakumbuka alikotoka. Usikute huyo mke aliroga. Kakuta mwenzie yupo tena ameshazalishwa kapambana na waganga hadi kaolewa yeye. Sasa yanamrudi. Haya mambo yanachanga jamanii...
Diamond alikuwa na ndoto ya kumiliki hili gari tangu 2015. Hili ni gari la ndoto zake jombaaa. Ningekuona wa maana kama ungemshauri kipindi hicho alichotangaza kutaka kuinunua hiyo gari. Sasahiv mchuma uko mikononi mwake kwa raha zake. Maneno yako sasahivi ni useless bin trash. Endelea kuteseka...
Neno mauji kalileta@kina kirefu ila hujaliona umekuja kuliona kwa Joanah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira za kukosa hela hizi.
Hili swala la kuombwa pesa bana kila mtu ashinde mechi zake. Wanaoona kuombwa hela ni starehe waendelee kuburidika na wanaoona ni kero waache. Sio...
Aombe msamaha kwa kosa gani? Kama ni kufanyia kampeni ccm mbona wasanii wengi tu walifanya? Tena karibia wote. Mbona wao hamwafanyii hivyo? Nandy anafanya nandy festival mbona hamfanyi figisu ili watu wasiende kwenye show yake? Acheni chuki kwa kijana wa tandale bana. Kama ni kweli ebu anzeni...
Mnavyosema ana dharau kisa alisema wakusanyike wasanii wote na ye awe pekeake anawakalisha mnajua haya mameno aliyasema kipindi gani? Hii kauli aliitoa kipindi media zote zimemsusa hazipigi nyimbo zake wala kumpa support yoyote. yaani wakusanyike hao wasanii wanaopewa saupport na yeye ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.