Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utatakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.

Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.

Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.

Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,

Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....

Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
Vuta pumzi taratiiiiibu! Halafu shushaa, vipi mkuu unateseka ukiwa wapi 🤷🏼‍♀️
 
Hahahaah nimesikia Zari kamshauri dai avute na Bentley na Lamborgini...Hahahah kwani inawaumaeeee au inawakera.....!
 
Ila mi napata tabu kung'amua siku hizi ushindani umeamia kwenye magari sio nyimbo nzuri tena?
Si kwenye magari bali kwenye kuonyesha mafanikio ya kazi zao za muziki, siyo kutunga mashairi marefu na kujikakamua eti kutoa sauti nzuri lakini fans hawaoni anachovuna au anachovuna hakiwaridhishi fans wanaoshindana kwa kutukanana mitandaoni.
Wale waliokuwa wakiwashindandisha wasanii wao wa Kibongo na Sadala ndiyo maana wamehamia kwa akina Burna Boy baada ya kuona wasanii wao wameachwa mbali.
Hiyo ni painful truth kwa wasiompenda Sadala.
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.

Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.

Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.

Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,

Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....

Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
Diamond alikuwa na ndoto ya kumiliki hili gari tangu 2015. Hili ni gari la ndoto zake jombaaa. Ningekuona wa maana kama ungemshauri kipindi hicho alichotangaza kutaka kuinunua hiyo gari. Sasahiv mchuma uko mikononi mwake kwa raha zake. Maneno yako sasahivi ni useless bin trash. Endelea kuteseka huko huko uliko juu ya mafanikio ya mwanaume mwenzio....
 
Hahahaah nimesikia Zari kamshauri dai avute na Bentley na Lamborgini...Hahahah kwani inawaumaeeee au inawakera.....!
Heeee niliandika kama utani hivi...jamaa ameishatangaza huko Insta kuwa amekwisha agiza hii makitu....kwani inawakera!
 
Dah
Ww mbna kama una matatizo ndugu

We umejuaje hatonunua lingine?
Umejuaje kamaliza kibubu?

Umejuaje atashindwa kulitengeneza?

Umejuaje alihangaika miaka yote kupata hio hela ya rolls royce tu?

Ruka ruka hapo kwenu mkuu lakini gari tayari analo...sasa sijui utaenda kumfokea? Mimi sijui ila umerelease heat yako sehemu ambayo kuna 0.00001% ya kupata kusikika na unayemsema na sio hilo tu ana 6 mengine ambayo yatapoteza hela yake haraka zaidi kama usemavyo kama ulikua hujui ndo ujue sasa na mawili mengine kanunua mwaka huu
Haya kufa

Bado ungo na kaniki tu ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom