Hiyo ni roho ya ufilisi na kukurudisha nyuma. Hakikisha kila unapopata pesa uziombee ili kuzilinda na kutoa fungu la kumi. Kuna connection kubwa kati ya pesa na matatizo. Naamini mara tu pesa zinapoisha , hata matatizo na shida za watu za kukuomba zinapungua, lakini mara tu upatapo pesa...
Mkuu sijui watu wanashida gani, tukubaliane kutokukubaliana kwamba kila mtu anamapenzi yake, watu wanaamini kwamba kuna gari ambazo haziharibiki kirahisi lakini nyingine zinaharibika kilahisi. Bei ya Outlander iko chini si kwa sababu ni mbovu ila uhitaji wake huku kwetu bado uko chini. Wabongo...
Huu ni ukweli usiopingika. Kama lile la kuwasifia kuwa wanaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja kumbe sisi tunawachora tu ili ku-maximize pay off zetu.
Bora hata huko, hivi ukiwauliza wakazi wa Kibaha kwamba Kibaha Mjini ni wapi, wakikuonesha uje nimekaa paleee. Kuna mikoa ukisema unaenda mjini ukifika kweli utasema kweli ni mjini. Utaona mpangilio wa upatikanaji wa huduma mbali mbali, utaona mpangilio wa majengo ya ofisi mabali mbali...
Nakubaliana na wewe kabisa, huu ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana, halafu ndo mnaonesha nini kwa watu, kwamba mna pesa, mnapendana ama nini! Kwa mwanaume anayejielewa kila kitu kinamalizika behind the scene.
Kwa kweli malori yanaleta adha kubwa sana ya foleni hiyo jioni. Ni kweli kabisa kwamba upanuzi wa barabara utakapokamilika huko Kibaha foleni itakuwa sio ya kitoto. Naamini Serikali inalienable hili na inampango mkakakati, lasivyo, aisee! sijui.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.