Ukifanikiwa wanakukopa, sijui ni nini hii?

Ukifanikiwa wanakukopa, sijui ni nini hii?

Wapendwa habari ya majukumu ya kulijenga Taifa letu la Tanzania. MUNGU ni mwema kwetu,hakika anatupigania usiku na mchana,,

Maada:
Nimekaa nikijiuliza, kwanini nikianza kupata pesa mfulululizo ama kiasi fulani ambacho unasema angalau,unashangaa unapigiwa simu na mtu mnaefahamiana au ndugu anasema umkope kiasi atakachosema atakurudishia ,pengine baada ya wiki moja mbele.

Yaani huwa najiuliza kwanini inanitokeaga,ama nakwa baadhi yenu ipo hivyo?
Je,ni kwanini inakuwa hivi?
Hata Mimi inanitokeaga me namua kumnyima tu
 
Hiyo ni roho ya ufilisi na kukurudisha nyuma. Hakikisha kila unapopata pesa uziombee ili kuzilinda na kutoa fungu la kumi. Kuna connection kubwa kati ya pesa na matatizo. Naamini mara tu pesa zinapoisha , hata matatizo na shida za watu za kukuomba zinapungua, lakini mara tu upatapo pesa, matatizo yanakuwa mengi tena mengine ni ya halali kabisa kuyakwepa inakuwa ngumu lazima pesa hizo zitoke tu na ulilopanga kufanyia hizo pesa linakuwa limekufa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom