Recent content by Short-Gun

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

    Hiyo ni mbaya mkuu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Gym Bungeni,Nani Apige Chuma? Said Nkumba ama Capt Komba

    Kwel hawa viongoz wametuchoka tena hawana huruma kabisa wanapendekeza wizi wa dhahiri sidhan kama hayo ndio maisha bora wamezid ufisadi
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Eti nilipe mahari milioni nne (4,000,000)?!

    Hapo mkuu tafuta hata m2 nenda katoe wakisema haitoshi hao wanaweza kuwa wanakukataza kuoa mtoto wao ukizingatia hali ya uchumi ilivyongumu hawawezi kupanga mahari yote hiyo na baadhi ya makabila hawaendekez mahari kwan wanajua mahari haiweki mtu bali upendo wa dhati
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story:'Hii ndio idadi kamili niliyowahi kutembea nayo....

    Hukutakiwa useme ungekausha tu unakufa kijeruman wenzako walimpendeza mungu wakafa katika uzee mwema sasa vipi mwenzetu au ulikuwa na pepo la ngono unasikitisha sana mkuu
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifike muda habari za vibustani vikomeshwe...

    Mkuu ndio maana michepuko huwa sipendi kabisa maana unaweza kulishwa hata sumu
  6. S

    JamiiForums Tanzania ...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

    Duu kilichonifurahisha hapo mkuu ni mwili si wake lakini..... umetisha sana
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story:'Hii ndio idadi kamili niliyowahi kutembea nayo....

    Pole mkuu sasa wasiwasi wako nin mkulima hufurahia kile alichokipanda subir mavuno yako
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia kuu yako,Mchepuko wangu

    Yaan mimi naoa halafu mtu anataka kuja kunimegea mke wangu hakiyanan nang'oa meno m2 bila ganzi
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mtoto ataniua soon

    Bora anayekwambia ukwel kuliko akakudanganya anakupenda mwisho wa siku unahonga ada yote shule unafeli halafu anakujakusema hakupendi hapo ndipo unagonga like kwa lucifer moja kwa moja acha hizo wenzako wanalilia kusoma wewe unalilia demu au chuoni wanafundisha mapenzi tu kwa hiyo uko field
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti Tanzani ni nouma...

    Mkuu pole sana kwa yaliyokukuta ila jipe moyo kuna siku utampata mwenye mapenz ya dhati
  11. S

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya

    Karibu sana ingawa mwaka jana mimi sikuwepo humu ndan ila karibu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hii Inakuhusu Wewe Mwana Jamii Forums,..

    Asante mkuu hapo umenena vyema
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na wachungaji

    Duuu hii ni noumaaaaa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

    Hapo kikubwa mkuu ni watu kujifanya wajuaji sana hatimaye wanakosa hofu ya MUNGU ndio wanaanza usodoma
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niwafanye nini watu hawa?

    Pole sana kwa yaliyokukuta ila cha msingi ni kuheshim maamuzi ya baba yako maana hata kama ataoa huyo dada na mkawa mnaheshimiana mambo hayawezi kuwa mabaya ndan ya nyumba
Back
Top Bottom