Wanaume tuwe makini na wachungaji

Wanaume tuwe makini na wachungaji

Bora mmeshajionea wenyewe uchungaji na uzinzi wapi na wapi heshima yao imeshuka wala hawana thamani yoyote na hiyo yote ni shauri ya kutomjua mungu wa Kweli ,faida ya kuabudu sanam la mzungu ndo ilo
Na hawa wanaobaka na kulawiti vitoto vya madrasa ambavyo hata kufua pichu haviwezi wanapigwa miaka thelathini magereza wanaabudu Mungu gani, na wanaabudu sanam za nani?
 
Na hawa wanaobaka na kulawiti vitoto vya madrasa ambavyo hata kufua pichu haviwezi wanapigwa miaka thelathini magereza wanaabudu Mungu gani, na wanaabudu sanam za nani?
Na wewe ni mchungaji nini mbona unataka kututoa nje ya mada, sisi tunazungumzia kushuka kwa maadil kwa wachungaji wetu wewe unaleta udini wako hapa'
 
Na wewe ni mchungaji nini mbona unataka kututoa nje ya mada, sisi tunazungumzia kushuka kwa maadil kwa wachungaji wetu wewe unaleta udini wako hapa'

Jibu hoja wewe ndiyo ulianza kuleta udini kujifanya kwako kuna mungu bora zaidi! umeulizwa huko kwenye mungu bora mbona watoto wanalawitiwa pia?
 
Na sisi wanawake tufuatilie waume zetu na watoto wetu wa kiume kwa karibu manake huko makanisani viongozi wengi wa makanisa wanawalawiti wanaume wenzao na watoto wa kiume!
Hii ni hatari!!

Duuu hii ni noumaaaaa
 
Wachungaji nao binadamu
wenzetu, wanamapungufu, wanamatamanio na wanamatatizo kwenye ndoa kama
zingine.
Ndio maana unakuta wanashindana kujenga mahekalu ya Familia zao magari
ya kifahari , lakini hawaboreshi makanisa yao kwa maana nyumba zao za
ibada. Watu wanafanyia misa kwenye jua kali au kwenye mahema.
Sasa mtu kama huyo ukimkabidhi mkeo atamwacha kweli.?

Kwa kulitambua hilo ndo maana wakatoliki wakapendekeza mapadri wasioe huwezi kutumikia familia na kanisa kwa usawa.
 
Yaani wewe umepishana maelezo na mkeo ndani mkasuruhishwe na mchungaji?!!!...mimi huwa naamini kitu chochote tunachoshindwa kukitatua au kifikia muafaka tukiwa wawili wahusika wakuu BASI HAKUNA MUAFAKA WA KWELI, hata kama tutaenda kwa wazazi tutakubaliana kwa heshima yao tu lakin moyoni kila mtu atabaki na lake! MAPENZI NI YA WAWILI TU, WA TATU NI MBEYA!

Baasiiii yani mtu wa tatu ni umbeya kaka hapo umemaliza sina hata lakuongezea.
 
Back
Top Bottom