Hii Inakuhusu Wewe Mwana Jamii Forums,..

Hii Inakuhusu Wewe Mwana Jamii Forums,..

Mimi nakereka sana unapoweka herufi ya kwanza ya ID yako basi inakuja ID full. Haka ka problem tunasolve vipi wakuu.
 
Ni angalizo zuri...though kuna mchezo fulani nimewahi kuuona kwenye hizi engine za kufungulia, unafungua page say JF,FB,Yahoo,and likely wakati ukitaka kufungua page nyingine inaibuka page yako ya JF as cover...na hata ikiwa umeshalog out akija mtu mwingine cover page ya JF itacontain ID ya aliyetangulia sema hawezi kuingia hadi awe na password!
 
Niliwahi kukuta MOD mmoja kasahau ku-log off kwenye cafe moja downtown. Isingekuwa umri wangu mkubwa wallahi watu kadhaa wangekula LIFE BAN humu JF
 
niliwahi kukuta mod mmoja kasahau ku-log off kwenye cafe moja downtown. Isingekuwa umri wangu mkubwa wallahi watu kadhaa wangekula life ban humu jf

ningekuwa mimi ningepiga lifeban wadada wote wanaoshinda kule jlw
 
Niliwahi kukuta MOD mmoja kasahau ku-log off kwenye cafe moja downtown. Isingekuwa umri wangu mkubwa wallahi watu kadhaa wangekula LIFE BAN humu JF

Dah! ningeifuma mimi hiyo wa kwanza kula ban ni Invisible, wa pili Paw, wa Tatu PAIN Killer, halafu wengine wote ningewatafuta nikawalamba ban za uhakika, na wale wote waliofungwa ningewafungulia.

Ningempa u moderator Malaria Sugu tushirikiane kuwakong'oli.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama umefikiria vizuri ........ !!, re-think again, nina mda mrefu sana sjatumia internet kwenye simu, haimaanishi sina simu au haina uwezo wa data access, yaweza kua na hata 3G,LTE,,,,, or whatever ...name it.
But kuna scenarios mbali mbali,.... hata huyo alieenda internet cafe, Haimaniishi kuwa alikua hana access kwenye hand set yake moja kwa moja..... you never know!!.

I just didn't find a "Dislike Button".... ningeibonyeza for you today!!.

Dah. Public computers for jf na fb? Simu haitoshi?
 
​
completing-xp-forgotten-password-wiziard.jpg
 
Guess what? I found the like button just for you.

haya, kila la kheri na use of public computers to visit social networks.

Back
Top Bottom