Huyu mtoto ataniua soon

Huyu mtoto ataniua soon

Usijali mkuu ajali kazini, potezea maisha yanaendelea
 
Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja.

Mwanzoni nilimpenda na yeye akaonyesha kama ananipenda ila sijawahi kumwambia sasa juzi kati ikabidi nimchane kwamba nampenda.

Alichoniambia ni kwamba anampenda jamaa mwingine wa jirani hapa afu sipo hata kwenye hisia zake dah ilo jibu lili nimaliza nguvu sababu mtoto nishamzimukia mbaya sasa hivi hata kula siwezi alafu nahisi hata mtihani wa chuo naweza kufeli guys naombeni ushauri jinsi gani naweza msahau?

ukipeleka FB watakusaidia zaidi wadau wa ngono, badala ya kusoma kuokoa familia yako maskini una endekeza tamaa za mwili utakufa dogo.
 
wacha ujinga toa mapenzi weka elimu kwanza
 
wacha upumbavu soma au kaombe ushauri kwa baba yako na mama yako
 
think about this......
kuna possibility ya yeye kuachana na huyo jamaa later?yes

kuna possibility ya wewe kumpata baadae? yes....

kuna possibility ya wewe kuwa mchepuko huku huyo jamaa anamiliki? probably yes

why ukose raha sasa?

life has full of possibilities ukitazama vizuri....

kuna possibility ya wewe kumpata mwingine na kumsahau huyo?yes...

its not the end of the world.......

kesho nitakupa reputation mkuu.
 
chuo unasoma bachelor au ninawasiwasi kama umefaulu form six iz nitabia za watoto wa form two acha uzinz
 
Nawasiwasi na ka umri kako..hujui kutema sumu so umekuja fundishwa ama?
 
We unapotea bana soma achana na mapenzi huo ndio ushauri wangu.
 
Haka kajamaa kanalilia mapenzi!!! Hahaa...kudadadeq utakufa umedinda,piga kitabu dogo wasichana utakutana nao wengi tena wazur mithil ya cleopatra,mpotezee tu huyo coz akunyimae mbaazi anakupunguzia mashuzi
 
Mkuu serious naomba ushauri niko kwenye hali mbaya

Tafuta hela ya kutosha mpelekee then usisubiri jibu hapo hapo bali chukua mwekundu mmoja andika namba yako ya simu juu yake;mkabidhi kibunda rudi kwako kapumzike!

Kwa technique hii;asipokupigia simu baadae kama "baby upo wapi nikufuate maana I miss you badly" njoo JF tutakuchangia hela ulizotumia tukurudishie!
 
mkuu najaribu kuconcetrate kwenye masomo lakini nashindwa yani nashindwa kujicontrol kabisa

Ningekuwa wewe ningeconcetrate kwenye masomo ili niwe vizuri nije nimpate kiurahisi, ukweli ni kwamba umekataliwa kwa sababu future yako haikoclear maana hapo tu ushaanza kushindwa kusoma...Halafu nikwambie ni nyg tu hizo tamaa vinakudanganya..hivi huyo ukimpa mimba kiwango chako chako kumpenda kitabaki hivyo
hivyo?..Soma wewe achana na hizo mambo..
 
MKUU ndo kwanza hujaingia ndani umeshindwa na kula? Tafuta mwingine usikubali kuwa dhaifu kiac hicho mapenzi hayana mana hata kidogo kumbuka ulipomtongoza ulitegemea kukubaliwa au kukataliwa think postively kuwa amekupunguzia changamoto la cvyo utafeli na yeye hana habari na.kufeli kwako
 
Bora anayekwambia ukwel kuliko akakudanganya anakupenda mwisho wa siku unahonga ada yote shule unafeli halafu anakujakusema hakupendi hapo ndipo unagonga like kwa lucifer moja kwa moja acha hizo wenzako wanalilia kusoma wewe unalilia demu au chuoni wanafundisha mapenzi tu kwa hiyo uko field
 
Nani ambaye hajawahi kutoswa hum jf?kilamtu alishawaki kutoswa some where some how kwa hiyo kijana wangu mtoa mada usijali ww sio wakwanza hata mimi ilishanitokea kipindi nipo darasa la saba.
 
Back
Top Bottom