Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji.
Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo. Watu wa IT Brela wamekuwa slow sana kuishughulikia tatizo hili.
Je, tutafika kweli kama mfumo huu...
Hata hii weiki liliyoisha mfumo haupatikani na hawasemi chochote. IT people jaribuni kuweka hili sawa wtu wanahangaika sana kupata service kwenye huu mfumo
Shida ni moja. Magari yote yanakuja yameandikwa Express sasa utakuta mtu anashukia magomeni kagera anasubiri la kila kituo halioni, anasubiri la ubungo halioni sasa akae hapo apoteze muda? inapidi apande express amuombe dereva amshushe Magomeni kagera. Mabasi ya Kivukoni - Ubungo na Gerezani...
Lwa wakazi wa Oysterbay enzi hizo kulikuwa na Kwa mwalibwa ukishuka tu kilima nyege ilitesa sana. Sehemu nyingine Pazi Bar, Katumba Bar knondoni, Africasana Bar bado ipo, kwa wakazi wa mikocheni B enzi hizo kulikuwa na container kwa makata
1, Denzel Washington
2, Antonio Banderas
3. Steven Seagal
4. Harison Ford
5. Nicholaus Cage
6. Bruce Willis
7. Wesley Snipes
8. Matt Damon
9. Sylvester Starlone
10. Jackie Chan
11. AnjelJolie
12. Luct liu
Nataka kusema kitu hapa. Toka afariki Hanspope maendeleo ya simba yamekuwa mabaya, Kwanini? Alikuwa anajitoa na hana njaa ya pesa. Alikuwa anaongoza kamati ya usajili na matekeo yake yalionekana. Alikuwa hana njaa ya pesa. Mjaa zetu za pesa zinafanya tufanye usajili mbovu. 10% zinatembea...
Ukitaka kujua nguvu ya Kanisa Katoliki angalia kwenye uchaguzi wa Papa. Dunia nzima inasimama. Anatambulika na kuheshimika dunia nzima kuliko kiongozi yeyote wa kidini dunani.
REST IN PEACE RASHID MBUGHUNI . Nilifanya nae kazi miaka 6 toka 1999 nikiwa Private Sector Initiative na Juniour Achievement alikuwa kama chairman wa Board. Alinifundisha vitu vingi sana. He was my mentor kwakweli.
Enzi hizo darhitwire na marafiki zilikuwa zinavuma sana. Tulishafanya party ya darhotwire nadhani ni mwaka 2005 msasani beach club. Namkumbuka dada maya sijui yuko wapi saahi. Kongoli kwake
Shida kubwaa kwenye vyama pinzani ni ubinafs na njaa za viongozi. Ubinafsi inakuwa karibu kila kiongozi anataka asimame yeye kama mgombea wa Uraisi ni wagumu sana kukubaliana mmoja asimame kwa niaba ya wote, Na njaa ni kwa viongozi ambao wako kimaslahi kwamaneno mengine wananunulika!
Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa badala ya kukimbilia kutoa MATAMKO kwenye mitandao ya kijamii. Vijana UVCCM wamekosa Elimu ya siasa ambayo ilikuwa inawaanda kuwa viongozi wa baadae.
Wamekimbilia kutoa matamko mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambayo yanaonekana kama...
Dikteta (kutoka Lat. dictator yaani mwenye kutoa amri kama imla) ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake. Pale ambako mtu au kundi la watu hutawala kwa mbinu huu hali ya kisiasa huitwa udikteta. Mfalme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.