Dear all,
I'm overwhelmed by th comments and advice, Mungu awabariki sana(my sins do not change who is). Natamani ningejibu comment moja baada ya nyingine lakini sitaweza, naomba nifanye kuzijibu zote/baadhi hapa kama hamtojali.
About the responsible man:
Ana taarifa za mimi kuwa na ujauzito...
Hello everyone
Just thought i should try, i might get lucky.
I am 27 yrs old n 2 weeks pregnant, unfortunately i have to choose between being a single mother and abortion (God forbid).
But there's a third option, if there is a man out there who for one reason or the other cannot have kids or...
Kupiga mizinga ni kipaji mjue. Si rahisi to some of us yaani unaweza spend 30 minutes kucompose msg ya kuomba hela afu ikiwa delivered unazima simu ha haa
Ila wanaume mjiongeze
Sometimes mtu anaomba hela si kwamba ana shida, she just wants to know how generous you are, and if she can count on you.
Dalali au mwenye nyumba naomba ni PM
-chumba, sebule na jiko (self)
-maji, luku na geti
-tiles n gypsum
-budget 150,000/-
-kuhamia ni May 1st
Negotiable pay plan
Maswali na majibu yote yaletwe PM
Am a girl miaka 25 naishi Arusha.
Natafuta rafiki hapa Arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out there but sina mwenyeji...
Sio mtu wa starehe bt napenda kuwa happy...n am single too so guys karibuni..who knows:)
nmekaa karibu na wanaume 2 waliolelewa na mama tu..kila baada ya sentensi moja mama anatajwa my mom does this, mom does tht mom mom mom! ikija kwenye relationshps hii ni issue cz atakuwa anacompare sana mkewe na mama yake na pia kuna hatari ya kuharibu mahusiano cz it will always be mama first...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.