Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
mmh, mwenzio nshazeeka. Unakutana na complete stranger anaanza kukuita my pineapple sijui big g! Mara siku mbili anaanza kukuambia nakupenda sijakufa nikaoza bila wewe sijui nini!
wooi. kueni mjionee maghorofa na mengineyo
Hahahaha my tomato baby, my sugar potato, wenzio tukiitwa hivyo twaafa mazima. Sasa usiombe niitwe "mama angu" yereuwiiii nachanganyikiwa na kuzimia kabisa... But ni utoto tu, tukikua tutaacha. Sasa sijui utoto unaishia umri gani, maake kama hadi sasa hivi tunaact like teens ni tatizo eti