Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Lala 1,shukrani kwa kibirudisho hiki umetupotezea stress za maisha walau kwa siku mbili tatu hizi.
 
SWALI LA MSINGII, MNATAKA NDOA AU MNATAKA HARUSIIII WANAWAKE WENZANGUUU? Mie kama design nataka harusiii vileee! Hahaaaa! Until after this story, all along what i ever wished for is a grand wedding. Ofa ya usuria ingenipita kwa kweli.
 
Harus n tamu sana na heshima inakuwepo ...nashukur Mungu huko nishapita...ila dah stor hiv ndio imeisha hivi??
 
Next please.... Hahaaaa umenifurahisha sana na hili simulizi mpenzi.... Tunasubiri kengine katamu zaidi ya haka....
Shkamoo Lara 1 aka KLM..aika mae
 
KATIKA KUBORESHAAA, SEMA NANI KAKUKUNA ZAIDI NA WAPIII! NI NANI EPISODE IPI NI BEST OF THE BEST KWAKO! Nitashukuru for feedback!
 
Lara 1 next time usisahau kunitag kwenye new story.. I am a huge fan of your stories. Usinisahau plz kwenye ufalme wako.
 
Story tamuu...Ila umaliziaji sio mzuri Lara 1.
Umetuacha njia ya panda kwa kweli!! vipi hatima ya Anny na Mchaga!! Vipi kuhusu majaliwa ya mimba za Angy,Anny na Sissca!!
How about Bridal Shower ya Sisca!! Na vipi send off yake na hata harusi yake jamani!!

Inaonekana kama umeamua uokoe muda wako kwa kutoendeleza episode zilizobakia,Kiukweli tuwe fair story tamu na nzuri kama hii haikupaswa kuisha hivi!! All in all,Asante sana kwa kutumia muda wako na kushare nasi kipaji chako....May God bless you!!
 
Harus n tamu sana na heshima inakuwepo ...nashukur Mungu huko nishapita...ila dah stor hiv ndio imeisha hivi??
Kwa hio unakubali watu wengi wanalilia harusiii sio mizaga zaga ya kwenye ndoa? Hahahaaa!
 
Lara 1 next time usisahau kunitag kwenye new story.. I am a huge fan of your stories. Usinisahau plz kwenye ufalme wako.
Ni follow humu Jf, nikipost tu unapata alert Nimepost! Ila nitakukumbuka pia usijaliiii.
 
Back
Top Bottom