shining star
Member
- Oct 22, 2010
- 28
- 56
nmekaa karibu na wanaume 2 waliolelewa na mama tu..kila baada ya sentensi moja mama anatajwa my mom does this, mom does tht mom mom mom! ikija kwenye relationshps hii ni issue cz atakuwa anacompare sana mkewe na mama yake na pia kuna hatari ya kuharibu mahusiano cz it will always be mama first then wife...