Airtel (TIMIZA) na Vodacom (M-PAWA)Asanteni sana mnasaidia wanyonge katika malengo yao

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,632
20,973
Hakika ni msaada ulioje? Ni nafuu na msaada mkubwa kwa dharura mbali mbali za kibinadamu../ hakika huduma zao zilinikomboa palipokuwa pagumu mno../ lasivyo ningeangukia kwa waweka bond wa kitaa wasio na huruma hata kidogo.

NAWAPONGEZA SANA.

•JE WEWE HUDUMA ZAO ZIMEKUSAIDIAJE?

TUSHAURIANE HAPA.
 
Hakika ni msaada ulioje?.
Ni nafuu na msaada mkubwa kwa dharura mbali mbali za kibinadamu../ hakika huduma zao zilinikomboa palipokuwa pagumu mnooo../ lasivyo ningeangukia kwa waweka bond wa kitaa wasio na huruma hata kidogo.
NAWAPONGEZA SANA.
•JE WEWE HUDUMA ZAO ZIMEKUSAIDIAJE?TUSHAURIANE HAPA.
Mkuu tueleze ilikusaidiaje maana wengine hatujajiunga.
 
Pia muda wa kurudisha mkopo ni mfupi sana
***
HAKIKA MUDA NI TATIZO NI VYEMA TUKAUNGANA KATIKA KUWAOMBA WAONGEZE MUDA KWA HILO.
PIA NI VYEMA WAKATEUA VERIFICATION CENTER ZA UHAKIKI WA WATEJA KWA WALE WATAKAOTAKA KUKOPA KIWANGO CHA JUU ZAIDI.
 
***
hili ndilo tatizo letu watanzania../pia ni kama ugonjwa,ndio maana hata magufuli anapiga hesabu kwanza kabla ya kuachia 50mil/kijiji.



tatizo liko wapi hapo nimeuliza swali madhara ya hiyo kitu wewe unaleta habar za magufuli ndio nipo sahihi ndo mana hata magufuli anawaza hicho nlichouliza mtu makini anaweka madhara ya hiyo kitu ili watu wengine watambue sasa wewe unawaza mazur tu
 
tatizo liko wapi hapo nimeuliza swali madhara ya hiyo kitu wewe unaleta habar za magufuli ndio nipo sahihi ndo mana hata magufuli anawaza hicho nlichouliza mtu makini anaweka madhara ya hiyo kitu ili watu wengine watambue sasa wewe unawaza mazur tu
***
Nimekuelewa,infact for now they take a risk...!/ hivyo hatuna budi pia nasi kuwa waaminifu,hakika ni uungwana WA ajabu.
 
vipi ukichelewa kulipa au usipolipa kabisa?
Mi nina mwaka sijalipa wananitishia kila siku mara hoo watachapisha jina kwenye gazeti kama mdaiwa sugu, hoo nitaorodheshwa kama mdaiwa sugu ili mamlaka nyingine zinizuie kukopa, ila wiki iliyopita wamenitumia msg ya kistaarabu, so nimewalipa nusu.
 
Back
Top Bottom