Natafuta nyumba kinondoni

shining star

Member
Oct 22, 2010
28
56
Dalali au mwenye nyumba naomba ni PM

-chumba, sebule na jiko (self)
-maji, luku na geti
-tiles n gypsum
-budget 150,000/-
-kuhamia ni May 1st
Negotiable pay plan

Maswali na majibu yote yaletwe PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom