Maprof. wa China na Urusi hata wasipojua kuongea Kiingereza kumbuka hiyo siyo lugha yao rasmi kama ilivyo kwa Tanzania, Kiingereza ni lugha rasmi hivyo tunatarajia yule anayeitwa msomi hasa kwa viwango vya PHD lazima ajue kuandika na kuzungumza kwa ufasaha Kiingereza
Ni kweli Tanzania haikupaswa kuwemo kwenye hiyo list kwani amani ambayo viongozi na watawala wamekuwa wakiipambanua si ya kweli, tukiangalia kuna ukiukwaji mkubwa wa katiba ya nchi kuvunjwa; pale watawala wanapokataa kuwapatia wananchi wake uhuru wao wa kuandamana, kitendo hicho ni uvunjifu wa...
.
Achana kabisa ndugu na huyu Prof. Kitila Mkumbo kwani yeye mwenyewe alikuwa CDM na aliondoka kwa kufukuzwa, na alikubali vipi kukaa kwenye chama kisicho na misingi, hayo ni maneno ya sungura, "Sizitaki mbichi hizi kumbe kashindwa kuzifikia".
Mbona hueleweki ndugu? Hii unayoita confession ni ya aina gani? Kwa kawaida confession huambatana na kuhitaji msaada lakini wewe ulichokifanya ni kujisifu kwa kitendo chako kibaya cha kumroga ndugu yako wa damu kwa kumpoteza na kuharibu ufahamu, sijafamu viwango vyako vya utakatifu mbele za...
Mbona hueleweki ndugu? Hii unayoita confession ni ya aina gani? Kwa kawaida confession huambatana na kuhitaji msaada lakini wewe ulichokifanya ni kujisifu kwa kitendo chako kibaya cha kumroga ndugu yako wa damu kwa kumpoteza na kuharibu ufahamu, sijafamu viwango vyako vya utakatifu mbele za...
Mtoa mada acha kukurupuka kwani hakuna lengo la kuwazimisha vijana kama unavyosema, kuhusu marehemu Amina Chifupa hakuzimwa kama unavyodai kwani alikuwa mgonjwa na watafiti wa mambo tunaelewa hilo, na kuhusu Mh. Zitto Kabwe hakuna anayetaka kumzima bali yeye mwenyewe ndiye atakayejizima aidha...
Mtoa mada acha kukurupuka kwani hakuna lengo la kuwazimisha vijana kama unavyosema, kuhusu marehemu Amina Chifupa hakuzimwa kama unavyodai kwani alikuwa mgonjwa na watafiti wa mambo tunaelewa hilo, na kuhusu Mh. Zitto Kabwe hakuna anayetaka kumzima bali yeye mwenyewe ndiye atakayejizima aidha...
Ni kweli kabisa Mh. Zitto Kabwe hana budi kufukuzwa kabisa kwenye chama kwani amejisahau na kuona KITU (pesa) ni bora kuliko UTU (Watanzania) wakiwemo ndugu zake wa karibu (mjomba, shangazi, bibi, babu na wengine), mimi naamini CHADEMA ni chama makini hivyo kitafuata taratibu zote kikatiba za...
pole sana ndugu sokwe, kifo hicho ni somo kwa tuliobakia kwani Mungu amesema ktk kitabu cha MITHALI 6:32-35 'Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza nafsi.......' hatuna budi kufahamu kuwa neno la Mungu ni kweli, tazama sasa jamaa yako amepoteza si tu nafsi...
Wakazi wa Arumeru tunapata kero kubwa sana ya kutokuunganishiwa umeme kwa wakati hata baada ya kuwa tumefuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na malipo, tunapouliza tunaambiwa kuwa vifaa vimeagizwa Dar, watu tumejinyima kufanya mambo yetu ya kuongeza kipato na kuamua kulipia huo umeme lakini mpaka...
pole sana ndugu yangu, nakutia moyo kuwa Mungu aliyeiumba hiyo figo anaweza kuifanya upya tena, nenda kwenye vituo vya maombezi vya walokole watakuombea, kitu kikubwa ondoa hofu maana ni kitu hatari sana kwani inaua kuliko ugonjwa
pole sana ndugu yangu, najua kile unachopitia hivyo usiogope kwani Mungu ninaemwamini ameahidi kutokuwepo tasa wala mwenye kuharibu mimba kwa yeyote atakayemwamini, mimi binafsi sikushauri kunywa dawa za waganga kwani zitagharimu sana maisha yako na huyo mtoto, nakushauri nenda kwa watumishi wa...
Usijinyonge mzee maana ni dhambi mbele za Mungu na utaangukia mahali pabaya kuliko hii serikali dhaifu, pia kumbuka family yako bado wanakuhitaji lakini watanzania tunakuhitaji zaidi maana wa ni zawadi yetu kutoka kwa Mungu, ni maombi yangu Mungu akusamehe kwa maamuzi yako ya kutaka kujinyonga...
Pole sana da Joyce, Mungu mwenye kufariji ninayemtumikia awafariji, awafute machozi na kuwatia nguvu nyote ktk kipindi chote cha msiba wa baba yetu mpendwa..... THE LORD GAVE AND THE LORD HAS TAKEN AWAY, MAY HIS NAME BE BLESSED...... JOB 1:21b
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.