LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,303
- Thread starter
- #81
Mkuu LIKUD nakumbuka last time uliazimia asifike kwenye harusi yako kabisa ulifanikiwa?
yeah nilifanikiwa kaka.Angekuja kuniabishisha tu . Coz alivyo jiweka,hafanani kabisa na mimi wala any member of our family. Maadui wa familia yetu wanamchukulia yeye kama kielelezo cha familia yetu. Mfano ukikutana na jamaa, lets say hata hapo Mlimani City,he be like " Yule braza ako,juzi alikuwa sehemu fulani hivi,alifanya hiki,hiki hiki and bla bla bla...Ni aibu kumtambuilisha kwa watu kamandugu yako.