Zitto na wenzake watoeni haraka siku kumi na nne tayari, msifikiri mara mbili kuhusu kumvua uanachama. Mkimrudisha atarekebisha makosa aliyofanya na wasaliti wake watakuja smart zaidi ili kuua chama na hapo itakuwa 2015, bora sasa hivi muwatoe huyo ambaye hamjamjua kwanza sio tishio na bora awe mmoja kuliko wawe wengi.
Msikubari kushauriwa, katiba ndio msingi na simamieni katiba. . . mtaonesha kuwa hamuwezi ongoza nchi na mtakuwa hamfuati katiba kama CCM, hatutaweza ona tofauti na wenzenu wa CCM na huo pia ni mtego wao mkimwacha watawavaa.
Kama Zitto na wenzake wanapendwa na watu na ni maarufu waunde chama chao au wahamie chama ambacho watu watawafuata, wanang'ang'ania nini? ebu jiulizeni !!!! Ebo !
ni hayo tu yangu.
Binafsi nimekuwa pamoja na CDM tokea 2007 nikiwa chuoni lakini kwa mara ya kwanza ntarudisha kadi na sitakuja kupiga kura tena katika siasa za nchi hii
Kama mtaamua kumuona ZZK ni bora zaidi ya chama,ni bora zaidi ya maiti ya Mwandosi,ni bora kuliko maiti za Arusha,ni bora kuliko Katiba basi mwacheni ila msije kuilaumu halaiki pale historia itakapokuwa inareveal.
Wanaosema ZZK aondolewe wote ni kutoka KASKAZINI!Ila kumbukeni DHAMBI ya UBAGUZI haiishi!
wenzako wamejadili usiku na mchana wameshindwa wamefanya vikao mpaka dubai wamekwama wewe unaleta ushauri wako mwepesi hapa.
Mkuu siku 14 zilipaswa kuhesabiwa baada ya muda gani...Je unavyojuwa wewe uamzi ulitakiwa kutolewa siku ya kumi na tano au baada ya siku 14 kupita kikao kitaandaliwa cha kwenda kupitia utetezi wa wasaliti, je unajua walikata rufaa na rufaa yao imetupwa juzi.....
Chadema hawana ubavu wa kumvua Zitto uanachama kwa hiyo anza tu. Unangoja siku 14 zipi tena?
Good thing ni kwamba ...imani yangu ni nzito,naamini hata bahari yaweza kudekiwa!Who cares! Anza hata leo mkuu! Ni sawa na kutishia kuideki bahari! Huna lolote wewe.
Good thing ni kwamba ...imani yangu ni nzito,naamini hata bahari yaweza kudekiwa!