Recent content by shibumi

  1. shibumi

    Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    Jamaa alitusumbua sana hadi tunamaliza
  2. shibumi

    Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    Mara sec tuliminda sana..lakini wapi kama jini. Kuna siku masela wakatega waya nyeusi huku kwenye njia ya nyuma ya mabweni.wakivizia akirudi usiku waya umfanyie mambo..maajabu watu wamekaa hadi SAA NNE wanashangaa anatokea Barbara ya uwanjani..kijana walichoka aisee
  3. shibumi

    Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    Yani kumbe nawe ni mara sec product[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .. Sisi tulikuwa na mkuda mmoja anaitwa mongate..alikuwa shida sana..tulishaandamana kwa ajili Yake hadi kwa mkuu Wa mkoa wapi..alituwinda hakuna mfano ..dawa Yake sasa tukawa hatutoroki mchana Bali usiku kuanzia SAA...
  4. shibumi

    Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

    Kama messi sio Wa safari hii..ronaldinho sijui niseme katokea wapi????!!!!!
  5. shibumi

    Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Hilal Aeshi katika vita ya kimapenzi wakimgombania Mhe. Joyce Mukya

    Ndicho mnachotaka ili Lumumba mbali mwenyewe..mnaanzisha mada za kichoko kabisa nowdays
  6. shibumi

    Kamari za kichina

    Kama ajira hamna...unataka wafanyaje kupata fedha..wacha wacheze kamari kuliko kuwa vibaka
  7. shibumi

    Leo 03/06/17 Panya Road 12 waitingisha Rombo ya Ubungo, 3 wauawa

    Yaelekea huwajui hawa madogo .wazazi wao wamewashindwa utaweza MTU baki? Dawa kiberiti tu..kama mbwai mbwai tuuu
  8. shibumi

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Huyu binti kuna uwezekano katumwa
  9. shibumi

    Wabunge wote tuna haki sawa iwe wa chama tawala au wa upinzani

    Dawa ni kujifunza kung fu..wakija hao askari unawarukia misamba ya maana
  10. shibumi

    Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Bora unaweza waambia hawa mataahira ya ccm..maana hata hawajui taratibu za utungaji Wa sheria .hakuna sheria nchi hii unaweza tungwa bila concern ya rais Na ndio maana wanamwambia alete sheria bungeni zifumuliwe.. Jamani kwenye maswala ya kitaifa wekeni uchama pembeni..ni nyie kwa wingi kwenu...
  11. shibumi

    Waigizaji weusi waliotisha kwenye muvi za mapigano miaka ya 90.

    Yupo ..jamaa nowadays kakomaa na Ku direct
  12. shibumi

    Haiwezekani tushindwe kuchukua maamuzi juu ya rasilimali zetu kwa kuogopa nchi tajiri

    Chadema hatuna akili fupi kama wewe aisee..hatupingi maamuzi ya rais..kwani ni swala ambalo tumelipigia kelele miaka nenda rudi..ila kwa sababu ccm akili zao fupi na wako bungeni na huwa hawajali maslahi ya taifa wakaingiza nchi kwenye mikataba mibovu kupindukia.just imagine MTU mzima n ajili...
  13. shibumi

    Mpoto: Mzee Ngosha wa Nembo ya Taifa alikuja kwangu kama 'chizi', tukafanya kazi, akatutoroka..

    Kwani INA mana picha za mwanzo akiwa kazidiwa hakuziona? Wabongo kwa kick siwawezi aiseeee....hakuna rambi rambi hapo. Maana hamchelewi unda kamati ya michango...
  14. shibumi

    Tundu Lissu: Tutanyolewa bila maji suala la mchanga wa madini, tusikurupuke

    Uko right na uko wrong pia...naomba unijibu hili.. Tumeingia mkataba Wa mauziano ya bidhaa kwa muda flank let's say miaka miwili..baada y mwaka ukagundua kwamba nimekupiga..je? Ukiamua kuu review mkataba wewe mwenyewe kisha kukiuka makubaliano bila kunishirikisha Mimi ambaye ni 2nd part kwenye...
  15. shibumi

    Niulize chochote kuhusu Meridianbet

    MNA Huduma mbovu sana..simu zenu muda wote hazipokelewi..mkitumiwa msg online hamjibu..mnaboa sana wazeee..kuna siku mlikua mnasumbua nimeeka mkeka Wa buku 10 mkeka haukuw paid na fedha yangu ikachukuliwa..tokea siku hiyo nikaachana na nyie nikaona matapeli
Back
Top Bottom