KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Nasema haya kwa uchungu sana! Kama mbunge siwezi kufurahia kitendo cha udhalilishaji kinachofanywa na na askari wa Bunge!Wanatakiwa kuelewa kuwa wale ni wabunge wakuchaguliwa na wananchi!
Leo kitendo cha kumsukumiza Mbunge wa Kibamba Mh Mnyika ni udharilishaji kwani pale kama angeanguka na akangukia kichwa tungesema bahati mbaya?
Sasa tunamtaka Katibu wa Bunge na Spika waliongelea hili kwani haliko sawa! Kunadhana imejengeka kuwa wabunge wa upinzani ni maadui wa nchii hapana!
Kama tunaona upinzani hautakiwi kuwepo basi tuitishe kura ya maoni tuondoe vyama vingi kibaki chama kimoja kuliko kuonaekana wapinzani ni adui kitu ambacho sicho.Hivyo kunatakiwa kuwekwa semina elekezi yakuwakumbusha wajibu wao hao askari wa Bunge!!
Wajue wao wanahudumia serikali na siyo wanasiasa!! Kinachoonekana na wao wamevaa joho la uanasiasa mpaka wanakuwa na chuki na wanasiasa hasa wa vyama pinzani!!
Leo tupo sisi kesho wao watawafanyia hivyo??endapo CCM itakuwa chama pinzani??au wanona haitakaa ikatokea kuwa wapinzani? Siasa ni mchezo mchafu ipo siku utapanga kila kitu vizuri ila inatokea mwisho unajikwaa unakuta unechelewa kupangua matokeo!!
Hivyo nikiombe kiti cha spika kuwaeleza na kuwapa semina askari wa bunge jinsi ya ku hendle issue za wabunge kwani sisi wote we are equal!! tumechaguliwa na tumeteuliwa na wote ni wabunge.
Asanteni.