Recent content by shevadon5

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli

    Ally star kwa mwanza hana mpinzani jamaa wanapiga usukani wale sijawah kuona.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kubandika kucha, kope za macho na kutoa magaga imepamba moto

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nilikua na mpango ukaniomba hela ya kwenda kubandika kucha yaani niliuacha siku hiyo hiyo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

    Tena hizi iphone especially macho matatu zimewafanya watoto wa chuo wafukuliwe sana mitaro..
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

    Kwa hiyo magufuli aliikuta hii nchi haina barabara?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

    Kwa CV yake bado sana kwa hiyo kazi ambayo ameteuliwa.Labda ni kama wanafanana majina tu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Album "Air Weusi" ya WEUSI ni utopolo, tumepigwa mchana kweupe

    Hiyo album ya mandojo na domokaya ilikua kali sana.Ulikua unasikiliza nyimbo zote bila hata kuskip.
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu kaahidi Bima ya Afya kwa wote

    Na magufuli naye jana kaahidi kuwa kila mtanzania atapata bima ya afya..Hapo unasemaje
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Over 2 goli zikiwa tatu utakiwa umewin ili zikiwa mbili wanarefund hela yako.. Over 2.5 ni lazima goli ziwe tatu ndo uwe umewin..
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Namkubali sana huyu mwamba.
  10. S

    JamiiForums Tanzania African-Americans ni wabaguzi kuliko wazungu, waliporudishwa Afrika waliwauza wenzao kama watumwa

    Doe ndio Rais wa kwanza ambaye alikua na mliberia halisi na aliingia na kisasi na kuwaua karibia baraza lote la mawaziri la Rais Tolbert aliyempindua ambaye alikua ni americo-liberian.
  11. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

    Kafariki juzi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

    Kaitafute chorus ya nyimbo ya squeezer inaitwa naja.Huu mjadala wako utaufunga mwenyewe.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Prison Break Season 5

    Subtitle download then utakua unaziweka mwenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangaa makanisa na misikiti kufungwa, ataka viongozi walioifunga ndio wasiende waumini waende. Hata minada, masoko waende wasizuiwe

    Yeye hawezi kwenda kwasabu chato iko ndani ya jimbo katoliki la Rulenge ambalo askofu niwemugizi kazuia ibada kwa mwezi mmoja.
Back
Top Bottom