Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

MbantuOG

Member
Mar 7, 2021
10
45
Huyu alifurushwa kutoka TRA anaweza akatumiwa vilevile. Sisi tuliona siku ya tatu baada ya maziko hii ripoti kupokelewa na ilikuwa Jumapili.

Wapambe nuksi wakaanza kumchafua mwenda zake kwamba ingekuwa ni yeye angekuwa kanisani akihutubia kutoka madhabahuni. Mungu akawa amewasahaulisha na wakasahau mwendazake ilikuwa ni zake pia kuapisha jumapili.

Mareheme siku ya tatu kaburini watu walianza kumpakaza hii oil chafu kama mafuta.

Ila mimi huwaga siwaelewi baadhi ya watu kwaio hao mawaziri nao wanakubali waonekana wezi for the sake ya kuhujumu legacy ya mtu aliyejipumzikia ?? Haya watu wanamchafua ili kiwe nini ?? Nisaidie kuwaza
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
1,606
2,000
Yaani kumbe tunao takataka kiasi hiki? Kwa hiyo mtu kama kala pesa za nchi asisemwe anyamaziwe tu kisa ni jeshi? Malaya mkubwa wewe

Matusi yatasaidia nini sasa? Walio kuwa wakifanya kazi ya kumsaidia mwenda zake kuongoza wajitathimini waone wanafaa kuaminika. Wakishindwa Bunge liwasaidie kujitathimini.
 
NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
236
500
WaTanzania wanafiki sana sana! Ona tu hata waklimvyonafikia Tundu Lissu wakati wa Uchaguzi akafaikiri yupo nao. Kumbe huku walikuwa wanajua watamwibia kura zake na kumpatia JPM. Mambo hadharani sasa!
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawaz
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,599
2,000
Mkuu mti mwenye matunda matamu hurushiwa mawe kila kukicha, viatu vya mwendazake hakuna wa kuvivaa sasa wanaona dawa ni kumchafua, wanashindwa kufanya yale aliyokuwa anayafanya mwendazake, waone aibu kwanza kwa kuangalia alivyoliliwa na mamilioni ya watu,legacy haifutiki kwa kwa kusema ,nao waweke legacy zao na wamuache JPM wetu apumzike,kumsema marehemu ni dalili za kukosa heshima na utu kwa sisi ambao tumelelewa kwa kufuata maadili.
Uko sahihi kama wanajiamini wavunje rekodi ya kuhudumia wanyonge ya Magufuli waweke Legacy yao

Lakini ninavyoona inaelekea kuwa serikali ya kufurahisha walio wachache sio walio wengi kama ya Magufuli!! Dalili zimeshaanza kuonekana

Lakini mapema Magufuli katufunza kuwa serikali inabidi kuwa mtumishi wa walio wengi.Na ndio perception walio nayo wananchi walio wengi

So far naona inajitahidi ku impress the few !!! the minority!!
 
daktari feki

Senior Member
Jun 25, 2020
155
250
Kwa wanaoona Mbali utagundua tatizo kubwa ni sheria zetu mbovu, kwani mkaguzi anatumia sheria na ukifuata sheria hakuna hata mradi mmoja utakamilika, kwani zina mlolongo mrefu sana na hapo ndio upigaji mkubwa unatokea pia.
Aliyeuzika mchakato wa katiba ndo katufikisha hapa.
 
shevadon5

Senior Member
Mar 15, 2012
192
250
Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.

Lugha ya ki layman utafikiri mtu hata shule hukwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk

Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini

Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Kwa hiyo magufuli aliikuta hii nchi haina barabara?
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,112
2,000
Utawala mpya unapaswa kupambana kuliondoa tabaka aliloliacha linakuwa kwa kasi la wanyonge kulitoa katika unyonge na kulipa maisha bora, hilo ndilo tabaka lake lililompenda sana
Na tabaka hili ni baya Sana...likiamshwa sijui viongozi watajificha wapi ...walivyo na vitambi vizito wataweza kweli kuki bia?! Tusubiri tuone...something bad is cooking...
 
MbantuOG

Member
Mar 7, 2021
10
45
Uko sahihi kama wanajiamini wavunje rekodi ya kuhudumia wanyonge ya Magufuli waweke Legacy yao

Lakini ninavyoona inaelekea kuwa serikali ya kufurahisha walio wachache sio walio wengi kama ya Magufuli!! Dalili zimeshaanza kuonekana

Lakini mapema Magufuli katufunza kuwa serikali inabidi kuwa mtumishi wa walio wengi.Na ndio perception walio nayo wananchi walio wengi

So far naona inajitahidi ku impress the few !!! the minority!!

Dah huenda ikawa hivo lakini in a long run mtu anafaidika nini akivunja legacy ya mwendazake? Kinachonishangaza kwanini mnashindwa kuelewa auditing ni hesabu kwamba kilitajwa kiasi X kimetoka kiasi Yna hii ni kinyume cha taratibu, jambo B litakiwa lifwate hatua C na D halijafwata limeleta hasara Z. Hizi ni chunguzi zinazofanywa kwa urahisi bila kujali chuki, ni vitu vinavyo onekana dhahiri kabisa.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,113
2,000
SGR haikaleta hasara, fikiria kama isingejengwa je bado ungesema tumepata faida? Kilichokosekana ni tozo ambayo haikulipwa na ambayo hata sasa inaweza kudaiwa na ikalipwa.

Sheria za kuajiri wageni ilikuwaje haikufuatwa wakati tuliambiwa kwamba JPM alimaliza kabisa rushwa na wafanyakazi walikuwa wanafanya kwa uweledi wa hali ya juu? Inakuwaje watu zaidi ya 1500 wageni wasilipe tozo ya vibali? Sawa ngoja Bunge washauri jinsi gani ya kurudisha hiyo bil 3.5 iliyokwepeka.
 
Kapwil

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
2,181
2,000
Yuko mtu anadanganywa na kadanganyika. Anafikiri hii nchi ikikwama watakao jibu ni wanao mdanganya. Kumbe watakuwa pembeni wakicheka na kutabasamu.

Hajui kwamba kajichafua na kuchafua anaofanya nao kazi. Sijui kazi atafanya na nani sasa? Unachafua mpaka Jeshi na vyombo vya Usalama kuwa havi kufanya kazi yake kikamilifu wakati ndio mbereko inayo kubeba kila uchao.
Hivyo vyombo havifanyi kazi ya kumlinda Rais kama hisani ni lazima vimlinde vinatekeleza katiba kenge wewe hivi nyie wapumbavu wa magufuli mna akili gani mmfuate huko aliko.
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
5,055
2,000
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Pumbafu,hivi Magu aligusa wananchi wanyonge kwenye nini labda zaidi ya kuwanyonya yey na wafuasi wake majizi
 
Coach Slamah Hamad

Verified Member
Nov 12, 2014
1,712
2,000
Na tabaka hili ni baya Sana...likiamshwa sijui viongozi watajificha wapi ...walivyo na vitambi vizito wataweza kweli kuki bia?! Tusubiri tuone...something bad is cooking...

Wameshaamka, the darkness is lurking in our midst! Inasubiri a very Fine opportunity!
 
seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
499
500
Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.

Lugha ya ki layman utafikiri mtu hata shule hukwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk

Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini

Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Lakini mkuu,tuliaminishwa mambo karibu yote ni pesa za ndani,na pia mapato yaliongezeka mara dufu sasa inakuaje aache deni kuliko wenzake waliokua na mapato machache na pesa za mikopo huoni either ni ufisadi au propaganda zilikua? Na kama si ufisadi kulikua na haja gani ya propaganda???
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,926
2,000
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
upo sahihi kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom