Recent content by Shekizongoro

  1. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

    Diamond anajua mashabiki, TV, radio, mapromota na waandaaji wa tuzo wanataka nini, wapi na lini. ndo anafanya. Kwa hiyo Mziki wake unapata airtime, nakiwania tuzo anapata. Na Vanessa anafanya hivohivo. Kwa sasa hakuna jinsi ya kumstop dai; wasanii wamtumie kama yeye alifanya kwa AY. Sio...
  2. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa mbaya Burundi, kambi ya jeshi yavamiwa na waasi

    Warundi naona mnatafuta kichaka. Kama tatizo ni Kagame 1. Kwanini ameamua kufanya hivo kipindi hiki wakati Nkrunzinza anaongeza kipindi cha 3 na hakufanya hivo wakati anaongeza kipindi cha 2? 2. Kama Kagame anaivuruga Burundi kiasi hicho, hamuoni kwamba Nkrunzinza ni President aliefail...
  3. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Devotha Minja wa ITV Morogoro

    Aisee; na Spensa angepata viti maalum kumbe?
  4. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania GE2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

    Sijui kama watakuelewa
  5. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania GE2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

    Amewezaje kubadilisha na umiliki hana?
  6. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

    Vigezo vya kuwa mbunge maalum ni vipi? Huyo Antropia hana hivyo vigezo?
  7. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wote Bila Kujali Itikadi za Vyama...

    Kero yangu ni katiba; nataka katiba ya Mzee J. S. Warioba
  8. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    Kijijini kwetu Lowassa alimgaragaza saana Pombe
  9. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

    Mi waliniletea chandarua; huwa nawakumbuka saana
  10. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania VOA, Kipindi cha Straight Talk Africa, Lowassa will win

    Hawa nyumbu watafana kumpa kura mtu mmoja
  11. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Lowassa ametulia sana; we ndo umepanic
  12. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Mnaiga hadi comment. Ahahaha
  13. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Sijawahi mwelewa Sumaye tangu akiwa CCM mpaka leo hii mkutanoni Mbeya

    Ukiwa na akili ndogo usihangaike na akili kubwa
  14. Shekizongoro

    JamiiForums Tanzania Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Dah.! Ngoja tudeal na CCM kwanza hiyo tar 25
Back
Top Bottom