Vijana cyo wapiga kura nchi hii. Ni wanawake na waliopo vijijini. Mheni rasmi ni nani hadi atusemee watanzania mil 22? Amefanya research au utashi wa moyo wake? Mtanyooka tu safari
endeleeni kujipa moyo tu sie tumejichimbia vijijini kwenye wapiga kira wengi tutakutana tarehe 25
Jitekenyeni na kufurahi...mgeni mwenyewe ni nani?
Ta Muganyizi unakumbuka nilikuambia nini kuhusu VOA?Jana kipindi kilikuwa kizuri sana.
nimeangalia comment ya kwanza mpaka ishirini zote zinafanana ndio mana wanawaita nyumbu haiwezekani mawazo ya watu wote kua yanafanana lazima kuwe na utofauti kidogo.
Lowassa can win election, katika kipindi cha Straight Africa mgeni kwenye kipindi amesema kuwa Edward Lowassa ana uwezekano mkubwa wa kushinda kwa sababu ana wafuasi wengi ambao ni vijana na ndio wapiga kura.
Hawa nyumbu watafana kumpa kura mtu mmoja
Welevu tunasoma tu comment na kusubiri tarehe 25, wanapeana moyo kwa kujiona wako wengi.