Watanzania Wote Bila Kujali Itikadi za Vyama...

Ndugu zetu Watanzania wote, bila kujali wewe upo chama kipi au hauna chama kabisa cha kisiasa.

CCM kama chama tawala tutapokea kero za wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa kuhusu maendeleo ya Tanzania katika sehemu uliyopo.

Uongozi wa CCM utazunguka nchi nzima bila kuchoka wala kusita kupokea kero na kuzitatua kwa kuzifanyia kazi papo kwa papo.

Tunapenda ieleweke kuwa CCM kama chama tawala hakitabagua Mtanzania kwa itikadi yake ya kisiasa.

Watanzania wote anzeni kujipanga na kuainisha kero zenu ambazo inabidi zifanyiwe kazi, usijali iwe kero kubwa au ndogo, CCM ipo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini, kisiasa, kijinsia, kikabila wala kiumri.

Na wale wana JF wote mnaweza kutupia kero zenu hapa tuanze kuzifanyia kazi.

Tunataka kutimiza ahadi ya Rais ya #HapaKaziTu.

Nimechoka kuwa mtanzania ivyo hitaji langu ni kufa kwahyo njoo mtoe uhai wangu mtakuwa mmetimiza na kumaliza kero yangu
 
Ukiwa kama nani katika CCM?
Hata katika listi ya madiwani wa CCM sijaona jina lako.

Usituchoshe. kwa sasa tunafatilia mambo ya msingi kama kupokwa kwa demokrasia Zanzibar na wizi wa kura Bara.
 
Ndugu zetu Watanzania wote, bila kujali wewe upo chama kipi au hauna chama kabisa cha kisiasa.

CCM kama chama tawala tutapokea kero za wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa kuhusu maendeleo ya Tanzania katika sehemu uliyopo.

Uongozi wa CCM utazunguka nchi nzima bila kuchoka wala kusita kupokea kero na kuzitatua kwa kuzifanyia kazi papo kwa papo.

Tunapenda ieleweke kuwa CCM kama chama tawala hakitabagua Mtanzania kwa itikadi yake ya kisiasa.

Watanzania wote anzeni kujipanga na kuainisha kero zenu ambazo inabidi zifanyiwe kazi, usijali iwe kero kubwa au ndogo, CCM ipo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini, kisiasa, kijinsia, kikabila wala kiumri.

Na wale wana JF wote mnaweza kutupia kero zenu hapa tuanze kuzifanyia kazi.

Tunataka kutimiza ahadi ya Rais ya #HapaKaziTu.
mheshimiwa ajuza, kero yangu mimi ni hapa kijijini ile milioni 50 tuliohaidiwa na mzee pombe haijafika, nasikia vijiji vyote wamepewa lakini kijiji chetu mmekiruka, jameni kuweni na huruma
 
Mimi kero yangu au maoni nadhani, naombeni hospitali ya Mirembe ihamishwe DODOMA nadhani athari za kuwepo kule imesababisha matatizo makubwa sana kwa wakazi wa maeneo hayo, ni hilo kama kuna uwezekano ijengwe hata baharini sababu kubwa ni kwamba hawa jamaa wa DODOMA ni ajabu la nane la dunia
 
Ndugu zetu Watanzania wote, bila kujali wewe upo chama kipi au hauna chama kabisa cha kisiasa.

CCM kama chama tawala tutapokea kero za wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa kuhusu maendeleo ya Tanzania katika sehemu uliyopo.

Uongozi wa CCM utazunguka nchi nzima bila kuchoka wala kusita kupokea kero na kuzitatua kwa kuzifanyia kazi papo kwa papo.

Tunapenda ieleweke kuwa CCM kama chama tawala hakitabagua Mtanzania kwa itikadi yake ya kisiasa.

Watanzania wote anzeni kujipanga na kuainisha kero zenu ambazo inabidi zifanyiwe kazi, usijali iwe kero kubwa au ndogo, CCM ipo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini, kisiasa, kijinsia, kikabila wala kiumri.

Na wale wana JF wote mnaweza kutupia kero zenu hapa tuanze kuzifanyia kazi.

Tunataka kutimiza ahadi ya Rais ya #HapaKaziTu.

mutavyoanza kuzunguka hakikisheni zile mil.50 za kila kijiji zimeshatangulia kuja huku kabla yenu! Nyie muwabebe tu waalimu zile laptop zao.HAPA KAZI TU.
 
Magufuli huenda kweli ana nia nzuri na watanzania maana sina shaka na utendaji wake?. Ila tatizo ni mfumo na ukiritimba wa wana ccm?. Je atarudisha iman ya watanzania iliyopotea? Jpo kwa asilimia 50 tu..
 
Ndugu zetu Watanzania wote, bila kujali wewe upo chama kipi au hauna chama kabisa cha kisiasa.

CCM kama chama tawala tutapokea kero za wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa kuhusu maendeleo ya Tanzania katika sehemu uliyopo.

Uongozi wa CCM utazunguka nchi nzima bila kuchoka wala kusita kupokea kero na kuzitatua kwa kuzifanyia kazi papo kwa papo.

Tunapenda ieleweke kuwa CCM kama chama tawala hakitabagua Mtanzania kwa itikadi yake ya kisiasa.

Watanzania wote anzeni kujipanga na kuainisha kero zenu ambazo inabidi zifanyiwe kazi, usijali iwe kero kubwa au ndogo, CCM ipo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini, kisiasa, kijinsia, kikabila wala kiumri.

Na wale wana JF wote mnaweza kutupia kero zenu hapa tuanze kuzifanyia kazi.

Tunataka kutimiza ahadi ya Rais ya #HapaKaziTu.

Kero yangu naomba CCM iondoke madarakani :redface::redface::redface:

natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kero kubwa kuliko zote ni tume ya uchaguzi.sidhani kama Magufuli ana ubavu wa kugusa hii kero.

Hakuna aliye tayari kukiweka kitumbua chake mchanga.
CCM wanajua kukiwa na tume huru wanaondoka 2020.
 
Back
Top Bottom