VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

Hatuchagui rais wa VOA, wakome kufuatilia mambo yetu

Rais wenu anavyotembeza bakuli mbona hamumuambii akome kuomba hela zao..........mukiongea muwe munatafuta vya maana sio kubwabwaja tu kwa vile munafaidika na wizi wa CCM.
 
Hao watawapa uhuru zaidi ya mnaouona?? Lazima tukubali mapungufu yetu wenyewe.

Hao wote wamekimbia nchi zao.
 
Jamani waafrika sio kama hawajui. Kwa hiyo kusema eti Africa has a lesson to learn sio sahihi. Viongozi wanajua vyote ila wanafanya makusudi kwani hawataki kuachia madaraka. Ukimpa mwafrika madaraka kumwondoa ni tabu sana. Huwa hakubali hata kama kuleta maendeleo hawezi. Hii issue ilitakiwa nchi kubwa kama USA zitumie force ili haki itendeke.

Tanzania haina demokrasia.

Miaka 10 ni kama wanaachiana watawala walewale.
 
Huku kilimanjaro hatuna hata hamu....na matokeo ya uchaguzi .....waendele tu kushikilia madaraka adi pale watakapo taka kuachia madaraka....na kamwe...huku hatutawahi kuwapa..eti "ccm ni ile ile" hivi hiyo sentensi c tata kweli
 
Rais wenu anavyotembeza bakuli mbona hamumuambii akome kuomba hela zao..........mukiongea muwe munatafuta vya maana sio kubwabwaja tu kwa vile munafaidika na wizi wa CCM.

Kuna watu wao wanahitaji bundle na gadget tu wataandika nini yani hilo kwao si tatizo kabisa
 
Nimewasikiliza kwa makini kuwa wanashangaa sana kuhusu kuhusu kuhalalisha matokeo kutoka zanzibar kutumika na NEC
pili wameongelea kuhusu ushahidi wa makabrasha kuwa hata wakiingia mezani kujumlisha atashinda nimewapenda sana

N.B nimejaribu kufafanua kwa swahili watz wote waelewe coz wengi watakuja na criticism

====UPDATES===
wamemsikilizisha EMANUEL KAWISHE wa NEC alichoongea lowassa kwenye press conference naona anajikanyaga eti anakitetea CCM kua si watu wa chadema tu walioumizwa na polisi tu hata wa ccm uko iringa

MTANGAZAJI WA VOA AMEMUULIZA :it seems in tanzania multpaty system is on paper but in real sense it is single party system as situation goes on.........

duh awa watu wanatuvua nguo kabisa wanaijua katiba yetu kuliko sisi

President Lowassa Ocampo four Bavaria

naona umesiliza peke yako : au tatizo ni kidhungu?
 
Last edited by a moderator:
VOA ndio nani Tanzania!. Wazungumzie wanachofanya Mashariki ya kati.

Kwani hausikiagi yale matangazo #Kwa hisani ya watu wa Marekani..........misaada munakubali, mkikosolewa mnajifanya hao ndio kina nani........idiot.
 
Haaa jamaa wanadondosha nondo za ukweli, hata ccm ikipita ishu ya time liangaliwe upya lazima time iwe huru

yule jamaa wa diaspora nadhan ndo level za kina maalim seif wengine makanjanja tu
 
Pathetic fool, what's VOA it's just a Radio Station like any other, and here they were presenting their opinions. Basi tuu bora ni chombo cha wazungu wajinga tutakiamini, lakini hayo hayo yankisemwa na African Radio, ooh tungeitukana sana. Kasumba hio
 
Democracy is not for the fools.

CCM stays in power because of some fools chose them.


Yes, dats for sure, lakini hawa fools dis tym hawajachagua ccm, ndio maana uchaguzi unafutwa ili ccm wachaguliwe uchaguzi mwingine, hilo haliwezekani, ccm bench kwa sasa
 
Pathetic fool, what's VOA it's just a Radio Station like any other, and here they were presenting their opinions. Basi tuu bora ni chombo cha wazungu wajinga tutakiamini, lakini hayo hayo yankisemwa na African Radio, ooh tungeitukana sana. Kasumba hio

Mi waliniletea chandarua; huwa nawakumbuka saana
 
Hatuchagui rais wa VOA, wakome kufuatilia mambo yetu

why sasa tunawaita waangalizi kutokanje tungefanya tu kimyakimya hoja yako ni porojo ukitoa inabaki urojo hii dunia sio yetu wenye kama hivyo kusingekua na relationship with other countries

NOTE:
positive or negative reaction in our country affects direct and indirect economic social and political matters of others

nina mashaka na brain capacity yako
 
Hii ni aibu kwa taifa zima. Hata tukienda nje hatuna tofauti na wasomali kusema kweli.

Kina Kagame na Nkulunzinza watakuwa wanatucheka tunavojipambanuaga mbele yao kama wana demokrasia.

mkuu ile dedication ya presda wa rwanda nili ignore but now inarelate unafiki wetu kwa mataifa mengine
 
Mtu anayekupa mpaka chandarua ili usife kwa malaria anahaki ya kukukanya ufanyapo ujinga

hahahah maneno mepesi but yenye ukweli unaopenya ni kweli wanatulinda tukiwa na budget deficit,tukiwa na homa mbalimbali ,tukiwa na uhaba wa vifaa vya jeshi na mengineyo kwa hiyo kwa hili lazima waliingilie
 
wakishaiba wanasema aman ni tunu yetu stupid

alafu hizi habari za kuongea na kuwasemea watu kuwa wako peaceful na wako na umoja sizipendi lets everyone speak on behalf of his/her soul??shit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom