Recent content by Sheikh

  1. S

    Uongo wa gazeti la Tanzania Daima

    Uongo na uzushi wa Jambo Leo Vichwa hivi vya habari vinaweza kuandikwa na gazeti la namna gani ? (Slaa ana Wazimu) Tarehe 20.01.2011 gazeti la Jambo Leo lilinadi habari yake muhimu kama ifuatavyo: 'Slaa ana wazimu: Adaiwa Sasa anebakiza Kuvua Nguo.' Kwa heshima na taadhima zote, Dk...
  2. S

    Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

    MoU ya Serikali ya JMT na THE CHRISTIAN COUNCIL OF TANZANIA & TANZANIA EPISCOPAL CONFERENCES Versus MAHAKAMA YA KADHI TATHMINI KWA MAKINI tu unafiki na undumilakuwili wa wabunge na mawaziri wetu kuhusu uamuzi waliochukua kwa kuwakatia wakiristo sekta ya elimu na afya (jambo la...
  3. S

    Zombe kuachiwa...

    HABARI za kuaminika ni kwamba mtuhhumiwa mkuu katika kesi ya mauaji ya vijana wasiokuwa na hatia jijini huenda akaachiwa huru baada ya rushwa kugawanywa kama pipi kwa mahakimu, waendesha mashtaka na mawakili. Inaaminika fedha hizo zinatokana na mauzo haramu ya almsai na vito walivyoporwa marehemu.
  4. S

    Rostam Aziz kugeukia Waislamu, Kuibua wengine CHADEMA

    CHADEMA inajiua yenyewe kwa kuwa CHAMA CHA DINI ZA KILUTHERI NA KIKATOLIKI ! Hakika watakaoikiua ni wale wanaodhani kuwa nchi hii inaweza kuwa na chama kinachasapotiwa na watu wa dini moja kwa hasara ya chama au vyama vingine. Ninawahusudu CHADEMA lakini hawa wameula wa chuya. Na katika...
  5. S

    Amos Makala Vs. Viongozi wa Chadema

    Hii kesi ya Fisi na mbwa kumshtakia Mbuzi kwa Simba na chui. Wote mnajua kesi za namna hii zilivyo! Lakini pia unaweza kukuta ni danganya toto. Je, mshtaki ana mahekalu na magari mangapi. Fedha yoooote ya CCM ilikuwa salama mikononi mwake? Au hawa jamaa ndio wale wanaoitumia CCM kuchukua...
  6. S

    Chuo Kikuu (UDSM) Kufunguliwa na Masharti mapya!

    Hivi Mkuu wa Chuo angelikua Prof. Viktor au Prof. Peter au Prof. Mbogo-watu wapole na wastaarabu na wasio na papara na kifu fesa chuo kikuu kweli kingelikwenda njia inayokwenda sasa. Ninadhani chini yao fedha inayozalishwa na Chuo Kikuu katika miradi yake mbalimbali ingelionekana na...
  7. S

    Ngawaiya amzodoa Ndesamburo

    Lazima. Maana yeye lazima ashukuru kwa kupewa tenda za CCM kuuza mbolea kanda yote ya kaskazini sasa uliona wapi mkono mtupu ukarambwa au mtu kuuma mkono wa mtu anayemlisha. Aishukuru CCM maana kama sio CCM alikuwa keshafilisika. Kisha wajua huyu bwana kawasaidia watu wasiomhusu lakini...
  8. S

    Kilimanjaro starts weekly flower flights

    Ninasikia wamo pia baadhi ya jamaa wanaotuhumiwa kama fisadi EPA! Lakini kama wamo mie natoa hongera. Maana hawa sio sawa na wale wanaozificha hela Uswizi au Marekani na kisha wakafa hakuna mtu anajua na zikawa zaliwa na wazungu huku sisi hatuna ajira na twafa njaa!
  9. S

    Kwa masharti haya UDSM ni wabaguzi

    UDSM : Sasa Kisiwa cha 'udikteta' ndani ya Nchi ya Kidemokrasia Tanzania AMRI, vitisho, mabavu, unyanyasaji na matumizi ya vyombo vya dola bila sababu za kibusara na kihekima ila vitisho na kuonesha musuli kati ya kina David na Golliath kumegeuza eneo la Chuo Kikuu mlimani kuwa kisiwa cha...
  10. S

    Serikali imesimamisha usajili wa magazeti mapya

    Wizara ya Habari kupitia Idara yake ya Maelezo imesimamisha Usajili wa magazeti kwa sababu ambazo mpaka sasa hivi hatuzijui. Tofauti na Kenya ambako unaweza kuanzisha gazeti halafu baadaye kuliandikisha kibiashara hapa Tanzania huwezi kuanzisha gazeti bila kusajiliwa na Idara ya Maelezo...
  11. S

    Serikali imesimamisha usajili wa magazeti mapya

    Wizara ya Habari kupitia Idara yake ya Maelezo imesimamisha Usajili wa magazeti kwa sababu ambazo mpaka sasa hivi hatuzijui. Tofauti na Kenya ambako unaweza kuanzisha gazeti halafu baadaye kuliandikisha kibiashara hapa Tanzania huwezi kuanzisha gazeti bila kusajiliwa na Idara ya Maelezo. Hii...
  12. S

    Vituo vya mafuta Dar vyagoma!

    BIASHARA YA MAFUTA ITAIFISHWE MARA MOJA KIONGOZI MKUU wa mgomo wa vituo vya mafuta inavyoelekea ni OILCOM ambao walianza kuficha mafuta ya peteroli kuanzia mwishoni mwa mwaka jana. Sasa ni Watanzania vs Wauza Mafuta. Zao au zetu. Iweje Marekani bei ya mafuta imeshuka toka dola 4 kwa lita...
  13. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Utangulizi: KWANZA, natoa shukrani za wazi kwa Sheikh Ido Mohammed Iddi wa Msikiti wa Mnyamani kwa kuwa mstari wa mbele kuzungumzia haki ya Waislamu kuwa na Mahakama yao ya Kadhi kama ilivyo Zanzibar, Kenya na sehemu nyingine Afrika. Yeye na viongozi wengine wa Kiislamu tunaomba wasikate tamaa...
Back
Top Bottom