Rostam Aziz kugeukia Waislamu, Kuibua wengine CHADEMA

Naona hatimaye Waraka huu umeletwa JF. Huu ndio Waraka alioandika Balillle na kumpa Mzee Yusuph Halimoja, ndio waraka ambao Chacha Amekuwa akipita katika vyombo vya habari kutoa hoja zake akiusoma.

Katika waraka huu mtaona ule mkakati niliowadokeza wa kumweka Mbowe mwenyewe kikaangaoni, hii ilikuwa ni baada ya mkakati wa mwanzo wa kumng'oa kwanza Dr Slaa kushindwa.

Katika waraka huu Kamati ya Mziray imetajwa, mtakumbuka niliwaeleza siku za nyuma kuhusu hili. Hii ndio njia mpya ya Wagawe, Uwatawale inayoendelea.

Na katika taarifa hii Balille anafanya spinning sasa kuwa ripoti hii iliminywa toka mwezi Disiemba kumbe ukweli ni kuwa ni Mwenyekiti wa Kamati Bwana Mziray ndiye ambaye katika vikao vyote vya kamati kuu vilivyofuata hakutaka kuleta ripoti yake mpaka Mkakati na Rostam wa kumtoa Dr Slaa Dodoma Juni 28 akaipeleka ripoti hiyo Dodoma siku moja kabla ya kikao ili ripoti hiyo isipitie kwenye sekretariati kama zilivyo nyaraka nyingine za kamati kuu.

Kabla ya kuipeleka ripoti hiyo Dodoma alishatoa ripoti hiyo kwa Rostam, Kaborou, Ballile na Halimoja. Ndipo Kaborou akamsaidia Chacha kuandika waraka wa kumpinga katibu mkuu ambao mwanzoni ulikuwa utoke kwa jina lake lakini baadaye akaamua utoke kwa jina la Yusuph Halimoja kwa wajumbe wote wa kamati kuu. Ballile naye akajiandaa kuchapa ripoti hiyo Mtanzania ndio maana habari ya Mtanzania ya Juni 29 kama nilivyowadokoza siku chache zilizopita ilikuwa na taarifa za ripoti hii kuwa ilimkandamiza Dr Slaa(hiki ndicho Ballile alitaraji kitokee lakini hakikutokea). Badala yake taarifa ya wazee ndio ikachukua uzito na hatimaye ikapelekea Chacha kusimamishwa.

Sasa kuhusu taarifa ya Mziray, pamoja na kuwa ilifika dodoma bila kupitia sekretariati mwenyekiti Mbowe akiamini katika demokrasia alikubali ijadiliwe(kwa mujibu wa wachambuzi hili lilikuwa kosa la kisiasa la mbowe).

Taarifa hiyo ilijikita katika kusema CHADEMA kuna ubaguzi wa ukabila, elimu na dini. Kwamba CHADEMA inapendelea zaidi wasomi katika kugawa nafasi za utumishi makao makuu na hata viti maalumu. Pia taarifa ili eleza kuhusu ukabila kwa kutumia takwimu zilizotajwa hapo juu.

Mjadala ulipoanza ikabainika kwamba Kamati ya Mziray iliandika taarifa za uwongo kabisa na majungu kwa kutoa takwimu na hoja za uwongo. Kura zikapigwa na wajumbe 29 wa Kamati Kuu wakaikataa hiyo taarifa kama si nyaraka ya chama(total dismissal). Wajumbe wawili tu wakapiga kura za ndio, Mwenyekiti wa kamati Mziray na mjumbe wa Kamati Mzee Shilembi wa Shinyanga. Hata wajumbe wengine wawili wa kamati hiyo waliikataa ripoti hiyo, Katibu wa Kamati mama Sophia Khatau alipiga kura ya hapana na Wakili Mbogoro Mjumbe wa kamati naye alikataa kwa kuwa hakushiriki kwenye vikao vya Kamati. Mjumbe mmoja toka Pemba wa Kamati hiyo alifariki kabla ya Kamati kuwasilisha kazi yake.

Sasa kwa kuwa Mkakati wa Rostam kuichafua CHADEMA hususani Dr Slaa ulijikita katika ripoti hiyo na walitarajia kuwa ndio njia ya kumuondoa Dr Slaa, wakafanya kikao tarehe 29 Dodoma na kukubaliana kati ya Ballile na Rostam kwamba waitoe ripoti hiyo bado pamoja na kuwa imekataliwa na ili isionekane ni Rostam Rai na Mtanzania zijikite katika kumnukuu Chacha Wangwe akizungumzia ripoti hiyo kuwa ni maoni ya wanachama, na gazeti la Majira liichape ripoti yote kama ilivyo.

Ripoti hiyo iliandaliwa na Mziray katika kile kinachoitwa Kamati imewahoji viongozi na wanachama 42 wa CHADEMA. Alipotakiwa kuwasilisha majina ya waliohojiwa na Kamati kuu akasema wamewahoji viongozi 31 tu na alipotakiwa kutoa majina yao hakuwa nayo, ila Bwana Mziray alikiri mbele ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kuwa kati ya aliowahoji ni pamoja na Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi bwana Kaborou.

Kikao cha jana pamoja na mambo mengine kilikubaliana kwamba Rostam atoe fedha za ziada kwa ajili ya ripoti hiyo kusambazwa nchi nzima kwa ajili ya kumchafua Dr Slaa na CHADEMA.

Kama nilivyowaahidi, nitawaletea taarifa kuhusu kikao cha kesho kadiri nitakavyozipata

PM
 
Kun mengi yataibuka kutokana na unafiki wa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wa maendeleo ya Tanzania kutosimamia wanayoyahubiri

Huwezi kuwa mwanaharakati wa Umaskini shingoni una cheni ya Gold
 
Kwa nini usituletee hiyo ripoti ya Mziray ili tuisome wenyewe na kuamua kama hao walivyopiga kura, kama yaliyomo ni ya ukweli au ni uzushi??

Si wewe Paparazi tena Muwazi pamoja na wanaCHADEMA wengine mtakuwepo humu JF kujibu maswali yetu?

Haya mambo ya kufichaficha na baadaye kutuletea maelezo ya mjumbe wa upande husika ndio yanayozua kutokuaminiana pamoja na mijadala isiyoisha.

Tuonyesheni ripoti ili hata wapiga debe wakija tuweze kuwa tumefikia uamuzi sisi wenyewe.
 
wangwe nimemtoa thamani bora aende akaamue ugomvi wa wauza bange wenzie walianchali na walianchoka...
 
wangwe nimemtoa thamani bora aende akaamue ugomvi wa wauza bange wenzie walianchali na walianchoka...

Umenichekesha kweli. Lakini hivi kwanini Wangwe hakwenda Dodoma wakati wa bajeti ya Wizara ya Madini wakati kule Tarime wanachi wake wana kero za kampuni ya Barrick ambazo walitaka azisemee?

Asha
 
Kun mengi yataibuka kutokana na unafiki wa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wa maendeleo ya Tanzania kutosimamia wanayoyahubiri

Huwezi kuwa mwanaharakati wa Umaskini shingoni una cheni ya Gold
Lakini hawasikii, tusichoke kuwaelimisha.
 
Rostam kesho atajaribu kurusha dongo lake ambalo naamini litakuwa ni la mwisho kwani hatimaye atakuwa amejichimbia mwisho wake wa kisiasa. Sitoshangaa kabisa kama hata akajaribu kutupa dongo kubwa sana kwa CCM na uongozi wake hasa Spika Sitta. Nzi wetu ameshafika kwenye ukumbi akisubiri kuleta habari.
 
Lile shinikizo la Sitta nililowaeleza limefanya kazi na wote mmeshuhudia jinsi KKKT walivyomkana Rostam. Kutokana na KKKT kumwahi Rostam kabla ya yeye kufanya tukio na waislamu sasa amesitisha mpango huo, badala yake amejizatiti kupingana na tamko la KKKT kiufundi. Amejiandaa kufanya propaganda kupitia Majira na Tanzania Daima kwamba tamko la KKKT limetokana na inda ya bwana Sitta na Mwambalaswa. Bila kuwashambulia moja kwa moja ataeleza wazi michango ambayo ameitoa kwa KKKT siku za nyuma na kueleza wazi kuwa wao ndio waliomualika wakati huo. Timu yake ya mkakati imechukua uamuzi huo baada ya ukweli kwamba baada ya KKKT kutoa tamko hata waislamu anawatumia nao wamesita sita. Wakati huo huo,timu ya mkakati ya Bwana Rostam inaendelea kutafakari jinsi ya kumwingiza Bwana Mengi kama mmoja wa watu waliofanya shinikizo zaidi ya Sitta kwa KKKT kutoa hilo tamko. Bwana Mengi ni mmoja wa waumini wa KKKT. Napo katika KKKT bado moto unafukuta Kinondoni, huku baadhi ya watu ikiwemo mchungaji wakipinga hatua za kinadhamu zilizochukuliwa. Na Bwana Rostam amekuwa katika mawasiliano nao wakati wote.

Wakati huo huo, kile kikao cha Bwana Chacha Wangwe cha Dar es salaam kimefanyika, kwa kiasi kikubwa mjadala uliofanyika hapa ambao bwana Balille alipeleka nakala umeathiri mipango yao. Bwana Rostam ameanza kumwona Chacha Wangwe kama mzigo. Ule mpango wa kuwaibua mashujaa wengine unaendelea ingewaje uzito wa viongozi hao umeonekana mdogo sana. Mkakati unafanyika wa kujaribu kumweka upande wa Chacha kiongozi mmoja mwandamizi wa CHADEMA(jina nalihifadhi kwa sasa). Wakati hayo yakiendelea imekubaliwa kwamba Bwana Dr Paul Kyara, Mwenyekiti wa SAU, mchagga ambaye alinyimwa nafasi ya uongozi CHADEMA kuepusha ukabila na hatimaye akaamua kujitoa chama hicho na kuanzisha chama chake; amuunge mkono Chacha Wangwe katika kuishambulia CHADEMA. Tayari bwana Kyara amepewa fedha na Rostam kuzunguka kuunga mkono madai ya Chacha Wangwe kuwa CHADEMA kuna ukabila, wachagga wanapendelewa na kwamba yeye amewahi kuwa makao makuu ya CHADEMA na anajua kwamba ruzuku zinatumika vibaya. Bado Bwana Rostam amemtaka Chacha Wangwe kuendelelea kubaki Dar es salaam wakati wanaendelea kutafuta 'mashujaa' wengine wa kumuunga mkono. Katika kukaa kwake Dar es salaam, ilikubaliwa kwamba Chacha Wangwe aitishe maandamano ya wanaCHADEMA Dar es salaam ya kumuunga mkono kutoka Temeke Mwembe Yanga mpaka Kinondoni Ndugumbi ya kuunga mkono hoja yake kwamba ruzuku ya CHADEMA haipelekwi wilayani. Chacha Wangwe aliwasiliana na viongozi wa Temeke kuandaa maandamano hayo. Hata hivyo viongozi wa CHADEMA Temeke walichukizwa na uamuzi wa wanaojiita wanachama wa Dar es salaam 20 wanaomsaidia Chacha Wangwe ambao wamesambaza waraka kwamba Chama hakipo Dar es salaam kokote kwa kuwa watatu kati yao walisimamishwa kuwa viongozi wa CHADEMA Dar es salaam, na kwamba suala hilo limeua uhai wa chama Dar es alaam kiasi kwamba hata mikutano ya hadhara haifanyiki. Suala hili liliwaudhi watu wa Temeke badala ya kuandaa maandamano wakaandaa mkutano na waandishi wa Habari na kutangaza wazi kuwa Chacha na watu wake ni waongo, Mkoa wa Dar es salaam ulishavunjwa na kwa mujibu wa mabadiliko ya Katiba ya 2006 Dar es saalam ni Kanda, Mikoa yake ikiwa wilaya za sasa za kiserikakali na kwamba wao Mkoa wa Temeke wanapokea ruzuku ya chama kila mwezi, wanaofisi ambayo si ya kukodi inamilikiwa na CHADEMA yenyewe pamoja na kiwanja, na pia wana utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara kila weekend; hivyo madai ya Chacha na wanachama hao wa Dar es salaam yamelenga kugawa makundi katika chama. Mzee Kikoti Mwenyekiti wa Temeke akatoa mwito kwa chama kumvua uanachama Wangwe. Matokeo ya Tamko hilo ni Chacha kumpigia simu mratibu bwana Semkwai pamoja na Kikoti na kuwatukana matusi ya nguoni pamoja na kuwatisha. Kutokana na hali hiyo, Chacha amesimamisha maandamano hayo kutokana na kukosa mahali pa kuanzaia na anafikiria kufanya utaratibu mwingine.

Kikao kingine kati ya Chacha na Ballile bila ya Rostam kitafanyika tena Dar es salaam, nitawajulisha yatakayojitokeza

PM

Sakata linaendelea;

1. RA amemhusisha Mengi kwenye hili suala kama nilivyowadokeza siku chache zilizopita.

2. Kyara amezungumza na waandishi, ameandikwa na majira na hoja, Ngawaiya naye ameanza kupitia taasisi yake ya CEGODETA kuishambulia CHADEMA na mkutetea wangwe.

3. Wamekubaliana kikao kuwa inaelekea CHADEMA itamvua uanachama Wangwe, hivyo wamemshauri aende mahakamani kabla na pia wapite kwa umma kusema kwamba Mbowe alipanga miaka mingi kumfukuza Chacha uanachama

4. Chacha aongeza timu yake ya Mkakati, amuingiza Mkewe wa Dar es salaam(Kimada) kwenye vikao na Rostam, Kaborou na Ballile. Wakubaliana kuwa agombee uenyekiti wa wanawake wa CHADEMA taifa.

5. Wakubaliana wasimshambulie Zitto ili wamshawishi Mama yake Shida Salum awe upande wao na wamtumie kumbadili Zitto kutompinga Chacha.

6. Chacha kwenda Dodoma kuchukua allowance ya wiki mbili na kurejea tena Dar es salaam kuendelea na mikakati.

7. Rostam kaunza mapambano makali zaidi na Spika Sitta ya kujisafisha ikiwemo kwa kuchochea mgawanyiko ndani ya KKKT baada ya Tamko lake. Baadhi ya watu wa KKKT kulalamikia kuhusu uhusiano wa Sitta na Vimada na ushabiki wake juu ya ushirikiana, kutaka Spika Sitta atengwe kanisani.

Nitaendelea....

Tutasoma mengi mwaka huu. Viongozi wa CHADEMA mbona hawasemi chochote katika thread hii? Kuna nini jamani?

Asha
 
Nina reservations kibao juu ya kifo cha Wangwe kwani nina maswali ambayo siwezi kuyajibu kama ifuatavyo;
1.Kwa nini kifo hiki kimetokea kati kati ya matatizo ya kiuongozi baina yake na viongozi wenzake wa CHADEMA?
2.Kwa nini kimetokea katika wakati ambao kulikuwa na tetesi kuwa anakuja kummaliza Mbowe kwenye Dar?
3.Ilikuwaje aje Dar kwa kutumia Saloon Car ilhali ana Shangingi lake?
Ilikuwaje katika Mazingira ya ajali kwamba yeye ndiye aliyekuwa anaendesha na gari halikuumia sana upande wa Dereva ambao yeye kapoteza maisha na mwenzake aliyekuwa upande ulioumia zaidi anaonekana buheri?
4.Kwa nini baada ya kuhusishwa na uasi ndani ya chama na baadaye kuwa kipenzi cha CCM ndo haya yatokee

Kuna nini hapa?
 
Huyu Burushi ninaishauri CCM ingemrudisha kwao Afghanistan au atakuja kuwaliza CCM kwa kampeni zake za kichinichini rafikiye law ....... ass a ........ awe Rais iliyeye aweze kuwa trilionea kwenye bahari ya umasikini!
 
Sasa nayakumbuka maneno ya Mwalimu Nyerere kuwa Tanzania itajengwa na wenye moyo. Inahitaji mtu kuwa na moyo thabiti kabisa kusalimika katika upinzani, maana inavyoonekana mamluki wa mafisadi wametapakaa kama sangara katika ziwa Viktoria.

Jasusi

Kuna uhusiano wowote kati ya kauli yako hii na Operesheni Sangara inayofanywa na watu wa CHADEMA? Just curious

PM
 
CHADEMA inajiua yenyewe kwa kuwa CHAMA CHA DINI ZA KILUTHERI NA KIKATOLIKI !
Hakika watakaoikiua ni wale wanaodhani kuwa nchi hii inaweza kuwa na chama kinachasapotiwa na watu wa dini moja kwa hasara ya chama au vyama vingine.

Ninawahusudu CHADEMA lakini hawa wameula wa chuya. Na katika picha nilizofurahia wiki iliyopita ni ile ya Mheshimiwa Mbowe akihutubia watoto tudoogoo na kisha kupewa heshima na gazeti la Mwananchi la Alhamisi au Ijumaa iliyopita kwamba Mheshimiwa ahutubia NGUVU YA UMMA!
 
Back
Top Bottom