Recent content by shaubar

  1. S

    Mvua pande za wilaya ya Tunduru - Ruvuma

    Mi nakuja xmas huko na gari ndogo je nikitokq mangaka ntaweza pita? Vp khali ya barabara
  2. S

    Lowassa ampa Apson kiasi kikubwa cha fedha Kutekeleza maazimio ya kikao cha akina Mbatia

    Mbona we ujasema ya kwako sikuile pale Grandvila ya makumbusho sio ile ya sayansi au kwa kua lile ombi lako limeshindikana ndo unaamua kusema uzushi huu??
  3. S

    Safari Club Mbezi mwisho mbona wahudumu wanaringa sana?

    Ni wezi sana hata supu ya ulimi wanauza 5500 wakati 4000 yani wezi watupu wamejaa pale meneja mwenyewe ukimpata nae ni maringo matupu
  4. S

    Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

    we mpaka tuweke picha zako ulipoenda kuomba msaada wa kuongezewa pesa ili uweze kutoa gari yako pale hororo border ulipoambiwa pesa hakuna ndo yote haya yameanza haya bwana lakin ukijavuliwa nguo usikimbie uchutame subiri uwekwe hadharani
  5. S

    Jamani nimeibiwa simu yangu sony experia t26i

    Jamani nimeibiwa simu yangu Iringa nilikua nikitokea mbeya sasa leo imeniletea picha kwenye email yangu ya gmail kwamba kuna picha imepigwa na picha ya huyo mwizi ni hii apo je nifanyaje kumpata? kwani nilishuka tuu pale maeneo ya ipogolo kuunganisha gali ya dar kwani nilikua nawai Dar kwenye...
  6. S

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Mmeongea yooote mmesahau mr rite na pale loliondo eti cj iz kuna uwanja wa mpira tulivyoenda jwenye alumni tuliwafunga nadenti waliopo muchezo yote
  7. S

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    ingekua hivyo makongoro angekua rais wa tanzania tumeshaona ujana ukitugarim atutaki
  8. S

    Yanga wafungwa 7-1 Uturuki

    inaelekea we ni mtalaam wa zengwe sasa fanya basi tukamtoe aden rageee
  9. S

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Unataka akatajirikie ikulu? au akajifunzie siasa ikulu?
  10. S

    Lowassa awapasha akina Nape na Mangula...

    Hahahahaha nani mtani jembe? Nani mpini?? Mpira magoli au mpira pesa??
  11. S

    Makomandoo wa JWTZ wawa kivutio ktk Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

    FYI yule mrefu wa mwisho kwa msafara anaitwa luteni godfrey yani mseven alikua anamwangalia huku kashika kidevu chake anashangaa jamaa wanavyofanya mambo ni tofauti kabisa na vijana wake na yule jamaa alikua batalion ya 4 pale goma na ndio alio fanikisha mauaji ya mamadou
  12. S

    Manyerere Jackton: CHADEMA, ruzuku iende mpaka ngazi za chini

    Manyerere ameongea kitu sahihi kwamba chadema kinatakiwa kufikisha rudhuzuku chini ni sawa kabisa sasa mkiingiza uongo wenu ndo mnatuboa kabisaaa makene ushauri ni mbaya uache kama mdhuru chukua kwa nn uanze kwa kubeza?? jamani tunajenga nyumba moja kwa nn tugombanie fito?
  13. S

    Lowassa awapasha akina Nape na Mangula...

    umelogwa peke yakoo kama ile mitambo ni ya kishenzi mbona OBAMA AMEENDA PALEEE
Back
Top Bottom