Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

Changamoto nne za Edward Lowassa kwenda Ikulu 2015

anaemkingia kifua mwizi nae ni mwizi...kwahiyo ndani ya sisiem hakuna msafi ndio maana pamoja na ufisadi wote, hakuna hatua zinazochukuliwa.

Dawa ni kuiondoa sisiem madarakani,kwani aliyepo ikulu anayajua yote lakini amekaa kimya....kwanini????

ufisadi wa lowassa ni sawa na wa mbowe na slaa tu. Je na chadema nayo tuipige chini kwa kuwa wote ni mafisadi?.
 
Dada Stella, Unaipigaje chini CDM wakati haipo madarakani? Na huo ufisadi wa CDM ni upi?

UMESAHAU MARA HII?...

HEBU ONA HAYA MASHITAKA YALIYOSABABISHA Tumaini Makene awakane wenzake...

UBADHILIFU WA FEDHA NA MALI ZA CHAMA.

Ndugu WanaHabari. Mtakumbuka kwamba baada ya uchaguzi wa mkuu wa mwaka 2010 ruzuku ya chama iliongezeka kutoka million 56 mpaka milioni 239 kwa mwezi.

Tunasikitika kuona kwamba mpaka sasa chama kimeshindwa kufanya uwekezaji wenye tija ili kukisaidia chama kiweze kujiendesha bila kutegemea Ruzuku ama kukopa kutoka kwa Mbowe kama mwenyewe anavyopenda tuwe tunafanya. Mpaka sasa chama kimepokea jumla ya shilingi BILIONI 10.038 kama ruzuku kutoka serikalini ili chama kijiendeshe.

Ni narudia, mpaka sasa chama kimepokea kutoka serikalini jumla ya SHILINGI BILLION KUMI, NA MILIONI THELASINI NA NANE.

Cha kusikitisha kwa kipindi chote hicho na kiasi chote hicho cha pesa zitokanazo na kodi za waTatanzania pesa ambazo zinasababishwa na kazi kubwa tuliyoifanya ya kukipigania chama kwenye uchaguzi mkuu wa 2010, leo chama hakina hata jengo moja la OFISI MIKOANI KOTE na OFISI zote za mikoa tunapanga kwenye FREMU za maduka na hata Pango la fremu hizo tunajilipia wenyewe kwa kuchangishana, Mbowe na Slaa wanatumia MABILIONI HAYA KURUKA NA CHOPA sisi huku chini tunaendelea kumenyeka kwa kigezo cha UKAMANDA ,huu ni utumiaji mbaya wa mali za chama.

Tunasikitishwa sana na kitendo cham mwenyekiti MBOWE kusema anajilipa madeni aliyokikopesha chama kila siku, kiasi cha zaidi ya MILLIONI 700 Mbowe anajilipa kama madeni aliyokikopesha chama. Sasa tunashindwa kuelewa deni hili ni deni gani lisiloisha?, na je deni hili alikikopesha chama kwa mkataba gani?, na aliusaini mbele ya nani huo mkataba wa mkopo?, Taratibu za chama kukopa zipo wazi je zilifuatwa?.

Haya ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Tunasikitishwa na kitendo cha mwenyekiti mbowe kukiuzia chama MAGARI CHAKAVU kwa zaidi ya million 600, Huku akijua ni chakavu na kwamba kabla ya kukiuzia chama alikuwa anakikodisha magari hayo Masikitiko yetu ni kitendo cha MBOWE kununua LANDCRUISER V8 VX 2 kwa pesa za chama na kasha kuja kukiuzia chama, lakini kama haitoshi mpaka leo hii Gari hizo zimesajiriwa kwa majina ya MBOWE HOTELS.

Haya ni matumizi mabovu mno ya mali za umma na kwamba yampasa sasa ajitathmini kama anapaswa kuendelea kuwa kiongozi mtetezi wa wanyonge ama mnyonyaji wa wanyonge.

Tunahudhunishwa na kitendo cha Dkt. SLAA kutufanyia huduma ya kutuuzia ukombozi, haiwezekani kwa akili ya kawaida, ukawa katibu mkuu unayelipwa zaidi ya million 130 kwa mwaka na chama halafu makatibu na viongozi wako wa mikoani wanalipwa 0 kwa mwaka. Huu ni udalali na unafiki wa kisiasa.
 
Tatizo paul makonda na wenzake hawajui kwa kimshambulia lowasa wanaidhoofisha ccm, kwa taaarifa yako wewe na wapambe wenzako mnaolala mnawaza Lowasa Majibu ya hoja zenu dhaifu yapo zaidi ua kurasa 100 ambazo ziikijibiwa itabidi mkae na kutafuta kashfa mpya,kifupi Mkataba wa Richmond na mapungufu yake ulikuwa na umeme nafuu sana kuliko mikataba ya Iptl nk na mpaka leo mashine za richmond zinaunza umeme kwa bei kubwa mala dufu ya ile ya mwanzo, kinacholipwa sasa na serikali ni riba ya matumiz anbayo wewe na mkeo mlitumia umeme. Taja kashfa za wizara ambazo unajua,taja tarehe ambapo mwalim nyereere alitamka Lowasa hafai kuwa Rais, kawaambie wanaokutuma nchi hii inataka Rais siyo shehe au mchungaji asiye na dhambi, kati ya wote unaowataka hakuna msafi kila mmoja amejaa kashfa.
 
umePANIC MKUU. MASWALI HAYAJIBIWI KWA MASWALI. WEKA MAJIBU
 
Inaonekana CCM bado ina nguvu sana. Kila kukicha CCM.Hata sera za vyama vingine sasa hazijulikani, imebaki sera moja tu ya kuiondoa CCM madarakani.

CCM nao sera yao ni kubaki madarakani liwalo na liwe
 
Kufuatia minong’ono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.

1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.

2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.

NAWASILISHA.

Leo ni tarehe 9 / Brazil / 2014.
 
simu moja tu ya SAMSUNG GALAXY imekuwehusha ! Je ungepewa na betri ya ziada ingekuwaje ?

Wewe aliyekutuma kakupa nini?njaa mbaya mpaka kila anayeandika Kwa kuujua ukweli unahisi kapewa kitu au anajuana Na anayemuongelea ukweli.wengine tupo Tunduru huku shambani.
 
we mpaka tuweke picha zako ulipoenda kuomba msaada wa kuongezewa pesa ili uweze kutoa gari yako pale hororo border ulipoambiwa pesa hakuna ndo yote haya yameanza haya bwana lakin ukijavuliwa nguo usikimbie uchutame
subiri uwekwe hadharani
 
Mere allegations za watu wale wale wenye kuingia mikataba ya kijinga kuwanufaisha wazungu huku roho zikiwauma waswahili wenzao wakifaidika!!! (10 Nani asiejua kuwa RICHMOND ilikuwa inamhusu Rais mwenyewe? Kunatofauti gani kati ya Richmond na SYMBION? Obama alienda Ubungo kwa bahati mbaya kucheza mpira? kwanini mnakuwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau? ... UFISADI wa Lowassa ni upi? Taja issue moja tu ya kifisadi aliyoifanya!!! Fedha za kuikodishia pango Ubalozi wa SA kwa rates za ulaya zinawauma nini? Mwenzenu alisomea UK tofauti na wale waliosomea kwenye nchi za Kijamaa ambao hawana entrepreneur mind kama yeye! Alphatel imefanyakazi na voda muda mrefu na imetengeneza fedha nyingi alizotumia kuwekeza tofauti na walaraha wabadhirifu wakubwa!!! Fedha za Japan walizomtengea Malecela bahati mbaya wakaziacha ofisini kwa Lowassa ilikuwa ni kama zawadi ya Bingo ambayo aliwekeza ipasavyo! Ingekuwa wewe ungefanyaje?... Nyerere alikuwa bias na alikuwa amemtarget Mkapa mparokia mwenzie LAKINI hata hivyo alimshindwa Lowassa kwa kuwa alikuwa anajua A-Z kuhusiana na kifo cha Sokoine! ... Kuhusu Afya yake kuzorota hatutashangaa wengi wetu maana nchi mabeberu ndo zao kuwaondoa viongozi mahiri wenye maono ya kuwaletea wananchi wake maendeleo! Lowassa anaogopewa sana na MNCs kwakuwa yeye hawezi kuingia mikataba ya kishenzi kasha wamwekee fedha eti Uswis kama chambo! City Water aliwatimua!!! Lowassa hababaishwi na nchi wahisani hata siku moja!!! Kama wakiamua kumua kama walivyomzimisha Meles Zenawi poa tu ILA Mungu atamlinda na madhila yote ya Kidunia huyu Mkombozi wa wengi... Kuna mengi hamyajui ila mnajikuta mnamchukia tu kwa kuwa mmelishwa vya kulishwa na akina JOKA la mdimu wenye kufurahia Dinner na Mabeberu wa Dunia hii ....
Kufuatia minong’ono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.

1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.

2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.

NAWASILISHA.
 
Watu wanakunja migongo kulima huku mashambani mpaka tunazeeka kabda ya umri alafu mafisadi Na walafi wachache kama akina Lowasa wanachukua kodi yetu Na kujenga majumba ya kifahari nje ya nchi.Chaajabu sisi makapuku Kwa sababu tu ya njaa zetu tukipewa kabahasha Na kuitwa monduli kula nyama tunasema Lowasa ndio rais.Poor vijana Na wazee Njaa munaopoteza muda kwajili ya Lowasa fisadi.
 
Back
Top Bottom