Recent content by shatisuruali

  1. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

    Ni sawa na kutaka kuthibitisha kama binadamu ana roho.
  2. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

    Uchawi unalindwa na professional code of ethics.. haupo public na Siri na misingi yake inasimamiwa na wenyewe. You are looking for it in a wrong place.. Mshana Jr
  3. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Je, magari haya yanamudu barabara zenye mchanga mwingi?

    2.4L harrier AWD town trip inatoa 6km/L highway 8-9km/L hamna penye mchanga inakwama. Tusubiri wa Alphard waje.
  4. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde

    Jibu ni hilo kaka video siyo halisi. Imetengenezwa kwa akili unde. Kadri siku zinavyosogea tutashindwa kutofautisha matukio halisi na ya unde.
  5. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linawezekanaje? Mhusika ameogopa sana anahitaji msaada

    Kitaalam umepandishwa fisi
  6. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Plan B yakuokoa Hasara kwenye Hisa

    Sawa ila ni betting tu.. inaweza kwenda kibra mazima.
  7. shatisuruali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia Wasiojulikana wanavyosumbua Dereva wa Basi.

    JamiiCheck
  8. shatisuruali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani yaipa Kenya $1.6 Bilioni ili kuimarisha huduma za afya nchini humo

    Wanatudolishia.. Wamewapa Rwanda na Kenya bado Uganda, Malawi, Burundi, Zambia na Msumbiji
  9. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Rwanda yalamba USD 228,000,000

    Zote zinaenda kuongeza vifaa vya waasi.
  10. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya ya kuanzia Ubungo mpaka Kimara ni nyembamba sana ilihali eneo lililochimbwa ni kubwa

    Tunapenda vitu vikubwa na vizuri lakini hela hamna
  11. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Bernard Kavishe, Msajili wa Bodi ya Wahandisi (ERB) ajitwanga risasi

    Hana shabaha mahujaji kajinuku
  12. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nani ameruhusu uwanja wa Biafra-Kinondoni uliokuwa unatumika kwa shughuli za umma umegwe kwa mfanyabiashara?

    Wale wa Kijitonyama Mipakani B pale uwanjani wanajenga nini?
  13. shatisuruali

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyetoa pesa ATM ya CRDB muda huu au Leo imekubali?

    Katika vitu sijajaribu kipindi hiki ni kufanya miamala ya CRDB.. mpaka mtakaposema mambo fresh ndio nitafanya.
Back
Top Bottom