Recent content by sharrif abdul

  1. sharrif abdul

    Daktari na Engineer nani analipwa zaidi

    unakufa maskin ..we sema hujutii tu
  2. sharrif abdul

    Nimekata shauri, navuka boda kutafuta wife, wajuzi karibuni kwa ushauri

    hataree sana,,hao kwao wanashida ila wanapenda sana raha km huna ela mzee ukimleta bongo utaibiwa tu cz atakukumbia..jmaa ang dereva alimleta mtusi mkaree kufika bongo mtt kakaa nae miez 4 tu.dem kamkimbia kaenda kwa wenye hela..hawafai km huna ela haoi aisee waone ivoivo tu
  3. sharrif abdul

    Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

    ndio mfumo wa dini yenu lkn..xo usishangae mkuu ..kiongoz lzm awe tofaut na asie kiongoz
  4. sharrif abdul

    Arab league inazitumia vibaya nchi za kiafrica

    inautakatifu gan sasa miyahudi ilee ina laana kbsa
  5. sharrif abdul

    KKKT labariki unywaji wa Pombe

    duh,hahaaaaa aya wenye din yenu polen sana ila tafuten ukwel juu ya din zenu nadhan mtaupata tu ukwel,..prof, mjema nadhan ashaanza kujua na kubain ukwel ndo mana akauliza juu la swali kubwa na zito juu ya vinywaji,na vyakula ktk din zenu...prof mjema tafuta ukwel mung atakuongoa zaid
  6. sharrif abdul

    UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

    always elimu haingaliwi kupitia chuo bt ni kupitia kichwa chwa huyo mwanafunz,unaeza ukasoma wap lkn bdo kichwan ni mweupe tu, aliajiriuwa dogo wa electrical engineering toka udsm kwe kampun mmoja iv na akapewa kitengo as workshop manager, bt yule dogo alikuwa mweupe kichwan mpk unashangaa yan...
  7. sharrif abdul

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. sharrif abdul

    Wakati wewe unalia maisha magumu wenzako wanafanya haya..

    duuh we muongo hatare izo gar 120m duu..kila mtu si angekuwa nayo hyoo duh.
  9. sharrif abdul

    Wakati wewe unalia maisha magumu wenzako wanafanya haya..

    gar tamu sana hyoo .full wireless,,usb charge hatar sana..izo aina mpya ya yuotong
  10. sharrif abdul

    Naomba ushauri juu ya huyu boss

    kumbe wotr wanaume bhn ,mchane tu mpe makavu live,wote mmeajiriwa hpo hmna mwenye kkampun hpo xo oneday anaweza toka yy au ww,izo kaz tu afu mchane akinuna achana nae,,usiogope kufukuzwa cz ndo source ya manyanyaso yotr hayo
  11. sharrif abdul

    Nawatafuta wanawake sikubaliani na tafiti kuwa wapo wengi kuliko wanaume

    chunguza mfano mdogo tu mtaan kwako au mitaa ya uswahili kwq upande wa watt wakike na wakiume wap wako weng utapata jibu rahic sana.
  12. sharrif abdul

    Mzee uliahidi pesa zitatiririka kwa wanyonge baada ya kubana mafisadi. Imekuwaje?!

    mtaani sembe kl. 25 shs.36000 hii hataree km masihara ivi..vp january,feb,march miez migumu hii ..
  13. sharrif abdul

    Msaada: Niufundi gani nikajifunze veta ambao utaendana na soko la ajira

    filter mechanics ni fan yq kuchomea yan welding na uchongaji wa vyuma,bolt nk
Back
Top Bottom