Ni KKKT(Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) sio KKTKKT walishamaliza uhasama na RC kwa kukubali kuwa mafundisho ya Luther yalikuwa na makosa na tofauti ya uelewa juu ya injili! Hivyo mwaka 2017 KKT, RC na Makanisa washirika wataanzimisha jublei ya 50yrs tangu kushuka malikia wa patmo( for RC), 500yrs tangu martin Luther kujitenga na RC, jublei tangu KKT na RC kumaliza uhasama ( hii ni ya ajabu kwani jublei hii ni ya chini ya 25yrs) n.k Kwa kifupi wataanzimisha jublei kama 8! Na jarida lishatolewa kwa ajili ya Mafundisho! Kwahiyo si ajabu kuona KKT wakianza kufundisha mafundisho yenye misingi ya RC na kuacha yale ya Luther!
Inafaa zaidi wajitenge huko kwa wanaokunywa pombeHao hawanatofauti na mtu binafsi na sababu zake binafsi kuacha kunywa pombe
Inafaa zaidi wajitenge huko kwa wanaokunywa pombeHao hawanatofauti na mtu binafsi na sababu zake binafsi kuacha kunywa pombe
Ongezea kabisa Na hii......Na wale wanao amini ya kwamba Yesu Kristo ni bwana na Mwokozi wa maisha yetu.....hao pia watashangaaWalutheri pombe hunyweka kama kawaida hakuna katazo wala fundisho la unywaji pombe.Wasiokunywa pombe ni wapentekoste,akitokea kiongozi wa madhehebu ya kipentekoste anashadidia unywaji pombe jamii ya wakristo wa kipentekoste watashangaa sana juu ya fundisho la kunywa pombe.
Tatizo ni pombe.so tatizo ni pombe au malasusa?...
Inapotokea kiongozi anashadidia pombe ni tatizo.Hakupaswa kuzungumzia habari ya pombe.Hii ikiachwa ipite tu ataibuka kiongozi mwingine na kusema kuoa wanawake wengi haina shida na maandiko yapo kutetea hoja yake.Viongozi wa namna hii huleta utata mkubwa sana kwa jamii wanazoziongozaso tatizo ni pombe au malasusa?...
Watu wengi hawaelewi maandiko matakatifu. Wanakariri tu ili mradi nao waonekane wamo. Unyenyekevu ni asset kubwa sana ambayo wengi tunaikosa kwenye dunia ya leoUnaonekana kuwa na uelewa mdogo au bifu kwa Askofu Dr. Malasusa
Kilichokataliwa katika Biblia Takatifu ni "ULEVI"
ULEVI hata wa Chakula kingi ni dhambi kabisa kama ilivyo Uzinzi, Wizi n.k
Unaweza kunionesha mstari wowote katika biblia unaokataza POMBE?
Chunga hiyo kauli yako....Inafaa zaidi wajitenge huko kwa wanaokunywa pombe