Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,515
Pole sana mkuu mungu akupe tahfif katika kipindi hiki kigumu,Mimi ni mwajiliwa wa taasisi fulani inayohusika na maswala ya ununuzi, nimeajiriwa tangu mwaka juzi. Tatizo nililonalo ni huyu boss wangu amekuwa ni mtu wa hasira sana ukikosea kidogo tu lazima achukue siku nzima kukusema na yupo radhi hata wekeend akupgie simu mtoke wote ila mkifika kwanye huo mtoko lazima akuanzishie mambo ya ofisini na kukusema tena kibaya zaidi ukimjibu ndo anazidisha mara ooh mpumbavu we hutumii akili yani inshort napata wakati mgumu natamani kuacha kazi ila nashindwa kwan familia inantegemea.
Nimejiuliza kwa watu wake wakaribu wanadai sio wewe tu ndivyo alivyo kwani ni mtu anayeamini yuko sahihi kwa kila kitu na pia jeuri ya fedha inampa kiburi
Tafadhari naomba ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuendana na huyu boss wangu.
kuna mambo mawili matatu ningependa kukushauri,
kila jambo katika maisha ili kuliamuwa ni lazima kupima faida na hasara ,kuliendea au kuliacha ,
Na swala la boss wako ni kiasi cha kukaa chini na kupima je Matatizo yake ni makubwa kuliko faida za uwepo wako apo kazini?
jibu utalopata utajua nini cha kufanya
maana waswahili wanasema heri kufa umesimama kuliko kuishi kwa kupiga magoti
Riziki mungu ndio anatoa na hakuna anayejua ya kesho zaidi yake mwenyewe mungu,mtumaini sana yeye katika kila jambo lako na maamuzi yake,sote inawezekana tunakosea katika maamuzi ila sio yeye
siku njema mkuu na pole tena kwa majanga