Recent content by shape shifter

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chuo kinachotoa Masters ya IT security hapa Tanzania

    Institute of Accountancy Arusha (IAA)
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada "NLTDR is missing" error kwenye Windows

    Kama unatumia WINDOWS XP fata hii link kwa solution ya hilo tatizo https://neosmart.net/wiki/ntldr-is-missing/
  3. S

    JamiiForums Tanzania TV Series Reviews

    kwa mwenye slave hunter hapa arusha naomba tuwasiliane ningependa kuicheki nasikia ni nzuri sana.tutaexchange series,ninazo series nyingi sana ambazo ni latest.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni series nzuri nzuri za Kikorea

    Queen of ambition
  5. S

    JamiiForums Tanzania laptop inahitajika

    Nahitaji laptop nipo arusha,budget yangu 700,000. Nikipata hp elite book au pro book itakuwa vizuri zaidi. Kama unayo ni pm tufanye biashara
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

    Crisis
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutengeneza website bila kutumia code ?

    Mkuu download notepad++ ni open source na ni program nzuri kwa hiyo shughuli yako
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Network Simulator

    kuna simulator ya networking inaitwa GNS3 google utaipata ni open source
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nishaurini Jinsi ya kuweka Operating System mbili kwenye computer moja

    Ushauri mzuri sana,mimi mwenyewe kwenye mashine yangu kuna dual boot ya window 7 na Kali linux nilitumia hiyo njia ni ndefu sana bt nilikuwa sina jinsi kwasababu kali linux haikubali kuinstall dual boot kwa njia ya kawaida.window 8 na linux mint unaweza kuinstall kwa njia ya kawaida boot kwanza...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    kweli kabisa mkuu,nimetoka kuangalia muda si mrefu season 4 episode ya 1.Bonge la series
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    The Hills Have Eyes
  12. S

    JamiiForums Tanzania KALI LINUX the best OS ever seen

    Mkuu Linux Mint walidevelop kwa ajili ya multimedia
  13. S

    JamiiForums Tanzania KALI LINUX the best OS ever seen

    Ningekusaidia lakini nipo arusha
  14. S

    JamiiForums Tanzania KALI LINUX the best OS ever seen

    Mkuu wazo zuri sana hilo,mm nimeshatumia linux mint,ubuntu,backtrack na kali linux nimeidownload juzi ila bado sijaitumia
  15. S

    JamiiForums Tanzania Depo la Uhamiaji

    Dah mkuu umemaliza kabisa lol!
Back
Top Bottom