Balozi wa Dodoma
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 477
- 179
nenda office ya uhamiaji utauliza utaambiwa sisi hatujui
Tumia kauli ya kuonesha umoja sio wingi..
Ww hujui, sio wte hawajui.
nenda office ya uhamiaji utauliza utaambiwa sisi hatujui
nenda office ya uhamiaji utauliza utaambiwa sisi hatujui
Tumia kauli ya kuonesha umoja sio wingi..
Ww hujui, sio wte hawajui.
Kwal wale watakaochaguliwa kwenda uhamiaji, depo mwaka huu litakuwa miezi sita na sio CCP itakuwa sehemu nyingine.
Ndio hio taarifa niliyonayo nikasema niwajuze kidogo
Pole sana mkuu inaonekana husomi vizuri,nilitanguliza maelezo hapo juu na kusema ndio taarifa niliyonayo.sasa kama hukupata kitu ni bora kukaa kimya kuliko kuandika kauli zinazokuvunjia heshima.Hebu toa mfano kuwa mwaka fulani walipiga miezi tisa na siyo kubwabwaja tu hapa jamvini
jeshi halina kanuni na halizoelek.
naomba unielezee kama una ufahamu mkuu
A constable is a person holding a particular office, most commonly in law enforcement.
The office of constable can vary significantly in different jurisdictions.
A constable is commonly the LOWEST RANK of an officer within the police,immigration, etc
kupanga makontena
jamani ni lini watu wataitwa kwenye usaili... na taarifa za kuitwa zinawafikiaje watu?