KALI LINUX the best OS ever seen

KALI LINUX the best OS ever seen

Virtual machines zipo nyingi ila hii ya Oracle ndo imeingia karibuni. Labda jamaa atueleweshe Zaidi.

vmware inajitegemea, ya oracle inaitwa virtualbox hii ni open source na nifree.

Sent from my Nokia Lumia
 
vmware inajitegemea, ya oracle inaitwa virtualbox hii ni open source na nifree.
Sent from my Nokia Lumia
Zote ni virtual machines, unaposema Vmware inajitegemea unaweza kufafanua kidogo.
 
mie nilianza na zorin os nikaja ubuntu nikaenda linux mint sasa nimerudi zangu ubuntu linux zipo bomba sana..
Kwa wale wanapenda program za kisayansi kama c++, fortran na zinginezo wanaweza tumia "scientific linux" au "uberstudent". Uberstudent ina msingi kutoka debian ambayo inajulikana kuwa na package mingi.Pia ni rahisi sana kuongeza package zingine za linux kwa kuinstall direct kutoka mtandao.
 
Hivi kwanini zitatoka aina nyingi hivi za Linux badala ya kuboresha chache?
 
Naona wanafunzi mko darasani. Hakuna tofauti kati ya OS na OS. Zilizopo ni siasa tu za watu wa open source. Wameshindwa kumpiku Windows. Windows is the best OS mpaka sasa. Lakini kwa kujifunza unaweza tumia OS yoyote lakini si kwa serious issue. You must use windows ni kwa sababu kunasapoti. Open huwa hazina sapoti.
 
Mwenye image ya kali linux a post bas au tupeane link ya kudownload ili kwa ambao hatuja tumia kali linux kama mm tuanze kuchangia
 
Naona wanafunzi mko darasani. Hakuna tofauti kati ya OS na OS. Zilizopo ni siasa tu za watu wa open source. Wameshindwa kumpiku Windows. Windows is the best OS mpaka sasa. Lakini kwa kujifunza unaweza tumia OS yoyote lakini si kwa serious issue. You must use windows ni kwa sababu kunasapoti. Open huwa hazina sapoti.
Mjinga Mkubwa wewe kwavile unatumia ASP na .NET na Dreamweaver na zote hizo zinawork kwenye windows ndio maana unasema windows ni best!!!! pambaf mkubwa hebu ulizia servers nyingi za Internet zina run os gani wewe mshamba
 
Kuitana wajinga kunatokea wapi tena mkuu
Server kubwa kutumia linux sio kigezo cha ubora, hapa wote tunatumia pc sio server
Os la bure lakini watumiaji hawafiki hata asilimia mbili ya watumiaji wa Pc
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Usage_share_of_operating_systems
 
Kwenye OpenSUSE kuna Vitual Machine na kwenye UBUNTU kuna Wine. Tofauti yake ni kuwa Vitual Machine inakupeleka kwenye Windos OS na Wine inakuruhusu ku run program moja kwa moja kwenye UBUNTU.
Umemeza vibaya sana mkuu,
Wine tool na virtual machine zinafanya kazi mbili tofauti, Wine tool inapatikana kwa linux zote ila efficient yake ni kama 60% kwa .exe
 
Mnanunua vipc vyenu tayari vipo pre-install windows halafu mnang'ang'ania hivyohivyo viOS vya windows wanaume tulishakimbia huko nyie endeleeni kumtajirisha gates nyambaf
hapo mkuu unachanganya mambo kumtajirisha Gate ni issue nyingine kabisa, tukirudi kwenye OS, kwa nini unafikiria manufactures wana preinstall windows badala ya Linux based OS? Na kutumia Linux hakumaanishi kwamba wewe ndo Mwanaume, Nimeona makampuni makubwa GE na Honeywell bado wanatumia windows DOS. Kama wewe ni mwanaume sijui hayo makampuni yataitwaje?
 
Mkuu huyo amekaririshwa wala hawezi kukuelewa
 
mie nilianza na zorin os nikaja ubuntu nikaenda linux mint sasa nimerudi zangu ubuntu linux zipo bomba sana..

Nini kilikufanya uache Mint urudi Ubuntu?

Hivi kwanini zitatoka aina nyingi hivi za Linux badala ya kuboresha chache?

New distribution zinaundwa kufanya kazi maalum. Angalia mifano hapa chini:

Linux Mint is a 32- and 64-bit Linux distribution for desktop computers, based on either Ubuntu or Debian. Its stated aim is to be a "modern, elegant and comfortable operating system which is both powerful and easy to use." Mint provides full out-of-the-box multimedia support by including some proprietary software such as Adobe Flash.

Kali Linux is a Debian-based distribution with a collection of security and forensics tools.

ClearOS is designed for use in small and medium enterprises as a network gateway and network server with a web-based administration interface.

Clonezilla Live is a Debian-based live CD containing Clonezilla, a partition and disk cloning software similar to Norton Ghost.

SUSE Linux Enterprise Desktop is an enterprise-quality Linux desktop that's ready for routine business use.

Smoothwall is a Linux distribution designed for firewalls and routers. Designed for ease of use, Smoothwall is configured via a web-based GUI, and requires little or no knowledge of Linux to install or use.

Edubuntu is a partner project of Ubuntu, a distribution suitable for classroom use. The aim is that an educator with limited technical knowledge and skill will be able to set up a computer lab, or establish an on-line learning environment, in an hour or less, and then administer that environment without having to become a fully-fledged Linux geek.

Linux Mint.png
 
hapo mkuu unachanganya mambo kumtajirisha Gate ni issue nyingine kabisa, tukirudi kwenye OS, kwa nini unafikiria manufactures wana preinstall windows badala ya Linux based OS? Na kutumia Linux hakumaanishi kwamba wewe ndo Mwanaume, Nimeona makampuni makubwa GE na Honeywell bado wanatumia windows DOS. Kama wewe ni mwanaume sijui hayo makampuni yataitwaje?

Umeshasoma Microsoft Anticompetitive practices and its monopoly tactics?

Quotes from wikipedia:
"In the 1990s, Microsoft adopted exclusionary licensing under which PC manufacturers were required to pay for an MS-DOS license even when the system shipped with an alternative operating system."
"Microsoft is also accused of locking vendors and consumers into their products, and of not following and complying with existing standards in its software."

Microsoft miaka ya nyuma ilikuwa ikiongoza kwenye desktop computers hasa upande wa Graphical user interface and easy of use.
 
Kuitana wajinga kunatokea wapi tena mkuu
Server kubwa kutumia linux sio kigezo cha ubora, hapa wote tunatumia pc sio server
Os la bure lakini watumiaji hawafiki hata asilimia mbili ya watumiaji wa Pc
Usage share of operating systems - Wikipedia, the free encyclopedia

Kulinganisha wingi wa watumiaji haiwezi kuwa kigezo kuonesha kwamba OS yenye watumiaji wengi ni bora kuzidi.
Nasema hivi kwa sababu mtu atakapoanza kujifunza kutumia computer, akaizoea OS aliyoanza nayo, sio rahisi mtu huyo kuhamia OS tofauti ikiwa atalazimika kujifunza upya kuitumia.

Nimetumia Ubuntu kwa miaka minne sasa. Hata hivyo, nimekuwa mvivu sana kuijaribu Linux Mint japo zinafanana sana. Sababu ya uvivu ni kutotaka kujifunza mambo mapya; pamoja na kwamba mimi ni computer technician. Sasa nimehamia kwenye Linux Mint, na nimeanza kuelewa kwa nini Linux Mint ni ya kwanza kwenye website ya distrowatch.com.

Inasemekana Microsoft wamezi-approach baadhi ya serikali na kuzishawishi watumie Windows mashuleni na kwamba wangetoa punguzo la bei. Microsoft wangependa watu/watoto wajifunze kutumia Windows kwanza ili wawe locked-in.
 
Back
Top Bottom