Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Mi movies za kutisha sipo kabisa. Mi napenda movies kama Deliver Us From Eve.
 
Nasikia kuna movie moja ya kutisha, ambayo waandaji waliahidi kutoa zawadi nono kwa mtu yeyote ambaye angeitazama hadi mwisho bila kufumba macho kwa uoga. Hivyo kwa yeyote anayeifahamu tafadhali naomba anijulishe. Vilevile kama kuna movie yoyote amabayo kwa maoni yako unaona ni ya kutisha kiasi cha kumfanya mtazamaji kutokutaka kuendelea kuitazama tena naomba unitajie tafadhali.

Umeshatazama 'The Wrong Turn'?
 
Wrong turn nmeitazama haitishi sana ila nilishindwa kula nyama karibu miez miwili. Inaleta kinyaa sana

Kuna nyingine ile walienda picnic na patner wao wakakutana na mbwa mwitu wengi huko waliwatesa sana baadhi yao wakauawa na mbwa. Nzuri sana ila sikumbuki jina.
 
Kuna nyingine ile walienda picnic na patner wao wakakutana na mbwa mwitu wengi huko waliwatesa sana baadhi yao wakauawa na mbwa. Nzuri sana ila sikumbuki jina.

Naipenda sana ile inaitwa "the breed" kuna jamaa watatu wananifurahisha sana. Yule black yeye hana mda na madem ila yeye pombe tu. Na yule jamaa anavyodungua mishale, na kale ka dada kalivyotumia ukamanda kupita kwenye lola.
 
Nitaitafuta
 
naipenda sana ile inaitwa "the breed" kuna jamaa watatu wananifurahisha sana. Yule black yeye hana mda na madem ila yeye pombe tu. Na yule jamaa anavyodungua mishale, na kale ka dada kalivyotumia ukamanda kupita kwenye lola.

Nashukuru nitaitafuta niingalie vizuri tena. Sikuangalia yote nikiwa nimetulia ila niliifurahia kwa vipande vichache nilivyoona.
 
Nashukuru nitaitafuta niingalie vizuri tena. Sikuangalia yote nikiwa nimetulia ila niliifurahia kwa vipande vichache nilivyoona.

Itafute mkuu. Namkubali sana yule jamaa Michael Rodrigue.
 
NSYUKA ile ni bonge moja la picha ya kutisha aisee. Tafuta hiyo halafu nipe ripoti mkuu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Nakumbuka baadhi ya muvi hizi za kutisha ila baadhi zimeshatajwa.

1: I Wnow What You Did Last Summer.
2: I Still Know what you did last summer

Hizi mbili ni kama zinahusiana.

3: 75ive: Hii inahusu vijana walikuwa na mtindo wa kupiga simu kwa mtu na kumzingua kwa sekunde 75 ukifanikiwa kumshawishi mpokeaji unakuwa mshindi, ila kilichowakuta: nisiumalize uhondo. Ni nzuri sana.
4: Mirror: Aliocheza yule muvi staa wa 24 Jack Bauer
5: One missed call, hii nakumbuka ilinisababisha nikawa muoga kupokea namba ngeni. Ni nzuri sana
6: The ruin, hii nayo mmmmh kama roho Ni laini sijui kama utaimaliza

kwakweli Ni nyingi mno nilizoziona na ndo my favorite movies. naombeni list ya muvi hizo niinjoi hapa nina bando la kutosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom