Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Kwa kile kisauti siwezi kupoteza mda kumuangalia

angalia inachekesha sana, role kubwa hajaplay yeye humo ndani kuna Sudy, kuna rado na mau, ina vituko sana mi ndo movie ya pili kuipenda baada ya za kanumba
 
Hivi ni kweli kwamba sisi hatuwezi kuigiza????? Ebu niambie umetumia vigezo gani kutoa hiyo conclusion mkuu??????

1. hawapo makini katika kujenga uhalisia utakaowavuta watu wasahau kama ni maigizo ,mfano, unakuta mfano movie ni ya jini, jini hilo linavuka barabara linaangalia kulia na kushoto, tafsiri yake nini hapo, kwamba linaogopa kugongwa km binadam,haya jini au mzuka anapaka unga ina maana viumbe wabaya ni wabaya mpka sura?

2. Haya unakuta wakati mwingine wanajisahau, kuhusisha diologue na location,mfano; mazungumzo ya zamani labda miaka ya 1980 lakini ndani walimo kuna sofa na tv hii inatafsiriwaje? kuna mtanzania gani wa kawaida alikua na sofa na tv miaka ya 80, embu fuatilia movie za akina jumong au legend of the seeker kama utaoba hata kioo cha kujitazamia

3. Uhalisia katika uvaaji wa uhusika, unakuta msichana anaigiza ni wa kijijini lakini mwangalie kichwani alivyosuka nywele, unajiuliza hiv kweli kijijini kunaweza kuwa na salon zinazoweza kusuka namna hiyo?

4. Kushindwa kutumia taharuki na mtindo rejea( flashbacks) katika uigizaji, kawaida unapaswa kutengeneza filamu ambayo mtazamaji atakua anashindwa kuacha kuitazama kwani anakua na hamu ya kujua nini kitafuata baada ya tukio fulani kuisha but kwa movie za kibongo ukiangalia movie Dk10 unakua ushajua itaisha vipi

aisee yapo madhaifu mengi sana
 
Hizi move ntazipata wapi jaman
Nielekeze na mimi mkuu
Utazipata:
Ila hakikisha ume_install bitTorrent au Utorrent katika PC yako
  • Na kama utahitaji kudownload TORRENTS kwa kutumia IDM kwa haraka basi hapa utahitaji premium service ambapo utapewa 1000GB [yes 1 Terabite ] ya bandwidth kwa ajiri ya kubadili Torrent na kuwa direct link kwa cost ya tsh 10,000 [ Ndio elfu kumi tu ]
  • Wasiliana nami kwa hii huduma.
 
mkuu tunashukuru kwa maelekezo yako haya wadau wote mliouliza jibu lenu hilo hapo
 
mkuu tupe vionjo kidogo vya hii kitu, walau mistari mitatu kuhusu utamu uliopo ndani

Hiyo Her ni jamaa mmoja kachezea cha mbavu sasa kwa upweke ameanza mahusiano na Operating System. Yaani uki install kwenye computer OS inapiga story, inahisia, ina joke, ni kama demu kabisa so kihisia hisia jamaa ndio demu wake wanapiga story 24/7 wirelessly.

Nebraska inahusu mzee mmoja kadata na maisha so ameona tangazo ambalo ni junk/spam kana kwamba ameshinda mahela kadhaa. Sasa anawasumbua wanae wampeleke hiyo state kuchukua hela. Familia inamwambia hajashinda ye hataki. Mke wake nae kapinda sana. Naye pia amepata Oscar
 
Movies nyingine nzuri za 2014 ambazo nimeziona ni
1. Seal team 8 (behind enemy lines) - hii ni ya kivita kati ya US navy SEALs na kikundi flani huko Congo msituni.
2. Ride along ( hii action-comedy ni nzuri pia. Star ni ice cube na kevin hart)
3. Tokarev (action- starring nicolas cage)
4. Jack ryan shadow recruit (hii pia ni action)
5. That awkward moment
6. Pompeii ( humu ndani yumo jack bauer).

Then kwa wanaopenda series ambayo ni latest ni 24 (season 9) ambayo mpaka jana ilikua imetoka episodes 4 kati ya 12.
 
Utazipata:
Ila hakikisha ume_install bitTorrent au Utorrent katika PC yako
  • Na kama utahitaji kudownload TORRENTS kwa kutumia IDM kwa haraka basi hapa utahitaji premium service ambapo utapewa 1000GB [yes 1 Terabite ] ya bandwidth kwa ajiri ya kubadili Torrent na kuwa direct link kwa cost ya tsh 10,000 [ Ndio elfu kumi tu ]
  • Wasiliana nami kwa hii huduma.
Mkuu hii ni nzuri lakini nnayo nzuri zaidi halafu ni bure bila malipo yoyote. yani uwe tu na IDM unapata series na latest movies katika size ndogo, mxm 200MB. Ziko site mbili
 
Movies nyingine nzuri za 2014 ambazo nimeziona ni
1. Seal team 8 (behind enemy lines) - hii ni ya kivita kati ya US navy SEALs na kikundi flani huko Congo msituni.
2. Ride along ( hii action-comedy ni nzuri pia. Star ni ice cube na kevin hart)
3. Tokarev (action- starring nicolas cage)
4. Jack ryan shadow recruit (hii pia ni action)
5. That awkward moment
6. Pompeii ( humu ndani yumo jack bauer).

Then kwa wanaopenda series ambayo ni latest ni 24 (season 9) ambayo mpaka jana ilikua imetoka episodes 4 kati ya 12.

naipenda sana hiyo movie pia american gangster iko poa yupo denzel washngton,chiwetele ejiofor,common,idris elba,Ti na cuban goodjr its has a nice story ya drugs lords...!!!
 
Movies nyingine nzuri za 2014 ambazo nimeziona ni
1. Seal team 8 (behind enemy lines) - hii ni ya kivita kati ya US navy SEALs na kikundi flani huko Congo msituni.
2. Ride along ( hii action-comedy ni nzuri pia. Star ni ice cube na kevin hart)
3. Tokarev (action- starring nicolas cage)
4. Jack ryan shadow recruit (hii pia ni action)
5. That awkward moment
6. Pompeii ( humu ndani yumo jack bauer).

Then kwa wanaopenda series ambayo ni latest ni 24 (season 9) ambayo mpaka jana ilikua imetoka episodes 4 kati ya 12.

mkuu asante sana sana umeitunisha library yangu leo thax
 
Mkuu hii ni nzuri lakini nnayo nzuri zaidi halafu ni bure bila malipo yoyote. yani uwe tu na IDM unapata series na latest movies katika size ndogo, mxm 200MB. Ziko site mbili

mkuu kwa Mb200 hiyo quality ya kuangalizia kwenye simu ama inakuwaje kilngozi, maana movie nzure Hd quality angalau ianzie na Mb600
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom