Usijali nambayako utaikuta chumba cha mtihani wakati wa usahili. Zaid Sanaa andaa tuu vyeti vya taaluma na kitamburisho (cha mpiga Kura, NIDA au passport)
Clinical officer anaweza jiajil kwakufungua huduma ya afya kikubwa awe tuu na mtaji.
Anaruhusiwa kusimamia Dispensary tuu akiwa kama clinical officer in-charge but that Dispensary wakati wa usajili kitahitajika cheti cha MO au AMO.
UPANDE wa health centre na hospital supervision ya kituo inakua...
Sasa huyo AMO au MD akiwa kama msimamiz mkuu licha ya kwamba hatahtajika kwenye matibabu. Anaweza demand kama shilingi ngapi as malipo?
Natanguliza shokrani.
Wakuu PC yangu window 8 iko severely damaged na virus Kila file naloweka linaliwa MSAADA PLZ [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee we fanya plan za advance Vyuo competition kubwa sanaa mwakajan wamebak wengxanaa THE CHANCE TO BUILD UP YOUR LIFE IS ONLY ONES asikudanganye mtuuu, chuo?
Kwel kabisaaa mkuu HAPO UMENENAAA
Unakta m2 ana MA iPhone makubwa MA PC [emoji335] na v2 vngne vng lkn mzaz as na2mia NOKIA TOCHI [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji149] [emoji148] [emoji148] [emoji145] [emoji162] [emoji161] [emoji154] [emoji155] [emoji157] [emoji156] [emoji147] [emoji165]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.