How can I remove viruses from my PC [emoji335]

Tumia task managaer ku monitor process kullocate malicious process loacation end the processes and delete the files ukijua tumia hii hutokaa utumie antivirus
 
Wakuu PC yangu window 8 iko severely damaged na virus Kila file naloweka linaliwa MSAADA PLZ

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama pc imeshaathirika kiasi kikubwa hivyo , hata ukiweka antivirus italiwa na haitakusaidia na hata ukitoa HDD ukaiScan pembeni pia windows files zitacorrupt. Cha kufunya hapo ni kuweka windows upya na kuweka antivirus kwaajili ya ulizi wa baadae tatizo lisirudi tena. Kwa list ya antiviruses nzuri jaribu kuGoogle kwani ukiuliza hapa kila mtu atakuambia yake aliyowahikutumia ndio nzuri ila kwa kuanzia tafuta kati ya hizi:
- AVG
- ESET
-KASPERSKY
-BITDEFENDER
-AVAST
 
achukue huu ushauri
 
kwa uelewa wangu mdogo, nimekuwa mdau wa kukumbwa na virus sana sana...nakushauri tumia hii ant virus

Download Microsoft Security Essentials from Official Microsoft Download Center chagua apo kulingana na unarun system yako kwa bit 32 au 64

zen utai update, baada ya hapo piga full scan....itategemea na ukubwa wa hdd zako ila mie nikikumbwa na virus angalau huwa namaliza full scan baada ya masaa 15 - 20.

nasubiri mrejesho
 
Back
Top Bottom